Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Hahahahaha, pesa zenu zinaliwa na wakikuyu kwa kutumia kiingereza kingi cha class one.The train has never derailed you mother fucker.. Wait for your class 3 rail.. Kenya's rail is class 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, pesa zenu zinaliwa na wakikuyu kwa kutumia kiingereza kingi cha class one.
1)Njaa Turkana.. Class 1
2)KQ kupata hasara... class 1
3)KQ kuwa na ndege 3.....class 1
4)Nchi kuwa na deni kubwa....Class 1
5)Rushwa. ..... Class 1
6)Old diesel locomotives.... class 1
Hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
na ni ya fuel? Ingekua umeme? Kenya banaHii mitambo ya kujengwa na wa china ni fake sana..Mwaka jana gari moshi la kenya lilisimama katikati ya reli na kugoma kwenda kabisa..Ilibidi lisukumwe na abiria😂😂😂
👇👇👇
Nairobi-bound SGR train stalls in Kibwezi - VIDEO
Kenya Railways MD Atanas Maina said the technical hitch on the engine was a normal occurrencewww.businessdailyafrica.com
Ethiopia wanatumia ETCS2 kama nyinyi!!!!!Our is European standard, Kenyan and Ethiopian are Chinese standard, that is the different. Poleni sana majirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya makande na githeri ni nini wewe mgonjwa mahututi?Tena makande ya Kibera kuchanganya na githeri ya Mathare.
Tofauti ni majina. Mbona huelewi?Tofauti ya makande na githeri ni nini wewe mgonjwa mahututi?
Hahahahaha, hivi una passport?, December this year jiandae kuja Tanzania kwa Mara ya kwanza uone bullet train physically, kumbuka haturuhusu IDs.joto la jiwe unajipa tabu tu maskini...etii european standard...bwahaaaa...naona mumekula huu...
bado mko na ndoto ya kui overtake kenya kw vigezo vya ndege za magu,reli ya magu kw viango vya kimagufuli kutokana na maneno yake majukwani,flyover moja ya msaada kutoka kw mjapan,the three blue towers,na kuwateka wafanyibiashara wa kenya,kuzindua transformer,kuzindua vibanda vya nyasi,kuzindua lift,kuweka jiwe la kumi katika uzinduzi wa bagamoyo port....
wakenya..hebu malizieni na vingine...manake nimchoka...vyote ni vigezo vya ki magufuli...bwahaaaa
ONLY IN TANZANIA RELI YA EUROPEAN STANDARD INAJENGWA SAWA NA BEI YA MAANDAZI
Hahahahaha, hivi una passport?, December this year jiandae kuja Tanzania kwa Mara ya kwanza uone bullet train physically, kumbuka haturuhusu IDs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari moshi kila siku linakwama njiani inabidi abiria washuke wa lisukume..Hii ndio grade 1 ya mchina😂😂😂😂joto la jiwe unajipa tabu tu maskini...etii european standard...bwahaaaa...naona mumekula huu...
bado mko na ndoto ya kui overtake kenya kw vigezo vya ndege za magu,reli ya magu kw viango vya kimagufuli kutokana na maneno yake majukwani,flyover moja ya msaada kutoka kw mjapan,the three blue towers,na kuwateka wafanyibiashara wa kenya,kuzindua transformer,kuzindua vibanda vya nyasi,kuzindua lift,kuweka jiwe la kumi katika uzinduzi wa bagamoyo port....
wakenya..hebu malizieni na vingine...manake nimchoka...vyote ni vigezo vya ki magufuli...bwahaaaa
ONLY IN TANZANIA RELI YA EUROPEAN STANDARD INAJENGWA SAWA NA BEI YA MAANDAZI
Chinese grade 1= grade 3 European gradeGari moshi kila siku linakwama njiani inabidi abiria washuke wa lisukume..Hii ndio grade 1 ya mchina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
World Peace Index:Hatuezikuja huko kwa warogi, bado maisha no tamu kwetu we don't want to die.
Sent using Jamii Forums mobile app
World Peace Index:
Tanzania number 51
Kenya number 123
Hii maana yake ni kwamba, ukiwa Kenya, your life is in danger 2.5 times than in Tanzania.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia iliyoendelea haiamini wala kuzungumzia uchawi, wewe primitive mind ndio unasumbuka na kuwaza ujinga huo.World uchawi index
Tanzania number 1.
Kenya don't even exist.
Hii ina maana kuwa ukiwa Tanzania your chances za kurogwa na kuuliwa no 100000 times than ukiwa Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia iliyoendelea haiamini wala kuzungumzia uchawi, wewe primitive mind ndio unasumbuka na kuwaza ujinga huo.
Terrorist attacks (2013 to 2018)
1. Kenya. 53
2. Tanzania. 0
Hii maana yake ni kwamba, ukiwa Kenya uwezekano wa Alshabab kuondoka na kichwa yako ni 53 times, than in Tanzania.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa juzi kati tu ndege ya Ethiopian Airline chali. not a coincidence this.Ethiopian class 2 Chinese train details merely 1yr after starting operations!
View attachment 1064939
Kunyaland😂😂😂hapa juzi kati tu ndege ya Ethiopian Airline chali. not a coincidence this.
Ethiopia inavuna laana (karma) za kuwatia raia wake umasikini kwa kuwekeza kwenye miradi isiyo na direct micro-economical impact.
next up..... a certain country - i name no name!!
Political assassinations.