Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni???
Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani??
Lizzy naamini hujapenda bado.
Wanawake bana,wanaponda kweli lakini wote lao moja labda majini ya kwao yawe likizo!