Eti anaamini nitakuwa wake

Eti anaamini nitakuwa wake

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Nilipomfata mwanzo hakutaka hata kunisikiliza, nilipozid kumfatilia akanambia "sikupendi", "nina mpenzi wangu na ninampenda sana",, niliukubali ukweli na kuamua kukaa pembeni, siku, miez hatimaye miaka kama mi3 ikapita, hapo ndipo akaanzisha ukaribu tena na mimi, akawa haishi kupiga simu na kuandika text, akajitahidi akaonana na mimi, safari hii "sikupendi" ikawa "nakupenda", huku akiwa na lundo la matumaini. Sikumficha, nilimweleza kwamba sina muda naye tena, na nilishamtoa akilini siku nyingi. Alilia sana siku hiyo na kulalamika kwanini namfanyia hivyo, alinibembeleza lakin hakufua dafu, ikabidi akubali kile nilichomuambia. Sasa anachowaambia rafiki zangu ni kwamba mimi nitakuwa wake tu! Sijajua huu ujasiri anakoupata, wakati mimi sina mpango naye hata kidogo
 
Mpaka umeleta humu ni kwamba yuko moyoni mwako ila tu unajibu mapigo kwa alivyokutesa, usijiumize bure jiulize kama bado unampenda jitose, acha kufikiria nani atasema nini, this is your happiness your playing with! shauri yako usije sema sijakwambia
 
kama hakwenda kwa sangoma basi ni subira ya fisi! Sali sana, mungu na waungwana shetani wapumbavu
 
Kama kweli haumpendi basi achana nae....usisikie ya watu kamwe kwani ''kelele za mbu hazichani chandalua''
 
Mpaka umeleta humu ni kwamba yuko moyoni mwako ila tu unajibu mapigo kwa alivyokutesa, usijiumize bure jiulize kama bado unampenda jitose, acha kufikiria nani atasema nini, this is your happiness your playing with! shauri yako usije sema sijakwambia

I am seeing someone falling in love again.

Mmeona eeh..

Naona jamaa analeta hapa mambo ya sijitaki mbichi hizi huku akiugulia moyoni.
 
are u sure u really wanted 2 b with ha b4?if so ,ucngemsahau inaonyesha kuwa mayb u ddnt hav true luv 2 ha ....n even ha,anaonekana hana mcmamo .....
 
mm ninachokiona kama bado unampenda mana imekuwaje ukutane nae na uongee na umpe nafac ya kuongea nae hili na lile kama haumtak ucngekuja sema mambo haya humu mana kwa vyovyote utakuwa unamkubal kiaina sema 2 unamuonea haibu ulienae sasa mzaz we kubal 2 kwan wewe ndo mwenye kumade decision so kaz kwako
 
Mkuu mpaka kuileta jamvini ni wazi kuwa huyo mtoto bado unampenda ila unashindwa tu nitoke vipi kwakuwa mwanzo alikumwaga live... piga moyo konde bila kujali watu watasema nini jitose kiofisa!!!
 
bora angeniambia hanitak, lakin sikupendi neno zito

mkuu achana nae huyo anakupotezea muda tu. Wakati anakuambia hakupendi alikuwa na mtu sasa amekorofishana naye ndio anataka kuja kwako. Mpotezee huwezi ukafanywa plan b tena kwa jibu baya.
 
Back
Top Bottom