Eti anakwenda Yanga!!! Huyu hapa Mohammed Ibrahim Mo na wenzake mazoezini

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Huyu hapa na vijana wenzake , ameomba radhi na mwalimu amemsamehe, haya sasa wale sijui oh jamaa anakwenda Yanga, hivi ngoja niwaulize swali hivi kuna mtu anapenda njaa?.Anajua upande wa pili swaumu kali, hata huyu mdogo wangu mwenyewe Ibrahim Ajibu kimoyomoyo anajuta.Mo speed, Mo Ibrahim..

Yanga timu, inachapwa kama mbwa na makhirikhiri tena wakiwa nyumbani. Yaani jamaa (Yanga) walikuwa wanakimbia tu uwanjani hata hawajuwi wanafanya nini mpaka mashabiki wao wakahamua kwenda vyooni pale uwanjani kupiga punyeto kuondoa hasira na stress.
 
Kuna kiongozi wa Yanga alitangaza kumsajili huyo mchezaji?
Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Yanga timu, inachapwa kama mbwa na makhirikhiri tena wakiwa nyumbani. Yaani jamaa (Yanga) walikuwa wanakimbia tu uwanjani hata hawajuwi wanafanya nini mpaka mashabiki wao wakahamua kwenda vyooni pale uwanjani kupiga punyeto kuondoa hasira na stress.
Utakuwa mgeni wa football, kufungwa timu nyumbani no kawaida sana ndio maana hata simba walishindwa kuchukua kombe LA Caf hapa hapa Dar.
Unamkumbuka Boli Zozo!?
 
Yanga timu, inachapwa kama mbwa na makhirikhiri tena wakiwa nyumbani. Yaani jamaa (Yanga) walikuwa wanakimbia tu uwanjani hata hawajuwi wanafanya nini mpaka mashabiki wao wakahamua kwenda vyooni pale uwanjani kupiga punyeto kuondoa hasira na stress.
BINADAMU WAPUMBAVU HUJINASIBU KUWA WANAJUA KITAKACHOJIRI KESHO.
 
Yanga timu, inachapwa kama mbwa na makhirikhiri tena wakiwa nyumbani. Yaani jamaa (Yanga) walikuwa wanakimbia tu uwanjani hata hawajuwi wanafanya nini mpaka mashabiki wao wakahamua kwenda vyooni pale uwanjani kupiga punyeto kuondoa hasira na stress.
Yaani yanga kama PSG, anaejua anajua tuu, achana na ushabiki maandazi ya viazi
 
Yanga miaka yote ni wasindikizaji tu katika mashindano ya kimataifa ila mashabiki wao hawataki kuambiwa ukweli. Sijawahi kusikia wala kuona Yanga inafanya vyema katika mashindano ya kimataifa, hata siku moja....never! Hapo mwakani utawasikia sie wa kimataifa, mmefanya nini cha maana kimataifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…