Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Huyu hapa na vijana wenzake , ameomba radhi na mwalimu amemsamehe, haya sasa wale sijui oh jamaa anakwenda Yanga, hivi ngoja niwaulize swali hivi kuna mtu anapenda njaa?.Anajua upande wa pili swaumu kali, hata huyu mdogo wangu mwenyewe Ibrahim Ajibu kimoyomoyo anajuta.Mo speed, Mo Ibrahim..