Eti anapenda ugali dagaa na mirinda nyeusi

Eti anapenda ugali dagaa na mirinda nyeusi

Alikuwa ni rafiki yangu, akimhoji mchumba wake,
Lahaula!,
Rafiki, Eti bidada unapenda chakula na vinywaji gani ?

Bidada akasema anapenda ugali dagaa na soda ya mirinda nyeusi.

Dah! Rafiki akashindwa kuendelea mbele kwa kushangaa sana mara bidada akamuuliza vipi?

Jamaa akasema hamna shida tuendelee.

Jamaa kaniuliza baadae nikamwambia huyo ndo mke yaani ndani unaweka debe la unga na dagaa wakutosha.

Ila kwa namna hii bidada atakuwa bikira rafiki kafurahi.

Jokajeusi agaim

Uzi tayari.
Ngoja nifufue uzi kwamba anapenda Mirinda Nyeusi ya Baridi? Basi tuendelee na uzi
 
Mkuu deni limefikia Trilion 70 lakini we ukaona ufufue huu uzi wa mirinda haya bwana.
 
IMG-20211227-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom