kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
Bandiko lako dah ok mkuu kjjsalamu wadau
Vichwa vya habari ya magazeti ya kibongo
msiba wa kitwana kondo
anaeigiza filamu za james bond afariki
mume mwenza wa diamond afariki
yanga yatwaa ndoo
simba wapiga hodi fifa
bongo movie wavuka mipaka
dah magazeti ya kibongo nje ndani
Wapishi wa JFPombe ikisha kichwani edit thread
Mtaalamu kwemaWapishi wa JF
Mungu ni mwemaMtaalamu kwema
Nasikia unaumwa mkuuMungu ni mwema
Yeah hapa naandika na mkono mmoja mwingine uko kwenye dripNasikia unaumwa mkuu
Pole sana mkuu.Yeah hapa naandika na mkono mmoja mwingine uko kwenye drip
Ohoooo!!!Ccm wanangoja rambi rambi ya mume wa Zari wairambe
Safari hii yamedunda naona nguvu imepungua sanaPole sana mkuu.
Madude yako vipi yale umeyachoma lakini.