Eti anataka mahari milioni 1.5

[emoji1787][emoji1787][emoji3]
 
Atakuwa amekuelewa sasa
 
Aliekuzaaa wewe alikuwa na thamani Gani kwnza??? Au ndio mpaka Leo anadeni??

Mbona ana thamani sana,
Hana deni lelote lile, deni ninalo mie, la Kumtunza na kumheshimu kama alivyonitunza na kuniheshimu kijana wake.

Hatahivyo, una mengi ya kujifunza ulimwengu huu, na unapaswa ukemewe.

Tafuta nafsi ya kusafisha roho yako kwa kumdhalilisha kiumbe wa Mungu.

Sikutegema haya kutoka kwa anayejiita Daktari. [SIC]

Amani ikufikie.
 
We jamaa mbona hiyo mahari ni ya kawaida sana,Haikua na haja ya kuanza kulia lia bila sababu,ukienda kwao mkaongea vzr na wazazi wake wanaweza kukupunguzia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…