Eti anataka mahari milioni 1.5

Hapo labda utangulize elf 30 kwanza yaan utoe 1.5m alaf ukute hajui kupika
Unakuta umeoa mwanamke mchafu hadi unatamani uhame nyumba, hawa wachafu mara nyingi ni wale ukikutana nao mtaani au wakikutumia picha wamejiremba sana kapiga makeup, kasuka zile nywele ndefu, what's up status kila saa na pozi tofaut

Ukimuoa baada ya mwezi tu unakuta sufuria kitandani, sabuni ya kuogea juu ya friji, mwiko kwenye kochi yaani utalia
 
When you’re cheap, nothing helps. Watu wanatolewa mahari 5M. Bado sisi wapare tuna kitu kinaitwa ‘Ya Mlala’ anapewa mama pia unakuja unaanzishia uzi milioni na laki5 🙄 Get a life. Tafuta hela 🚮
 
Sijaoa na sina mke wala mpenzi ila nimeshajisemea Mahari ya mwanamke nitakayotoa si chini ya 3m.

Wakitaja 11m nitatoa 3m wakitaja 20m nitatoa 3m wakijichanganya waseme mahari 3m basi nitakua muoaji wa kwanza Kumaliza mahari.

Ki ufupi mahari nmepanga ni 3m tu yani hiyo ipo mfuko wa shati kwa mwanamke yeyote nitakae piga hodi kwao.

Sio zaidi ya hapo wala chini ya hapo. Kwahyo Mkuu wewe 1.5m unaiona Kubwa sikulaumu yawezekana level yako hujafikia huko na naamini pia Hata muda wako wa kuoa haujafika.

MUDA ukifika naamini utapandisha dau mwenyewe hata bila kuambiwa kutokana na maana ya mahari kwa definition utayokua nayo kichwani.

Kwasasa baki tu level za dem wangu,baby wangu,manzi angu,pisi yangu level ya Mke Wangu Bado hujaifikia Boss.
 
Hoja za watibeli ni zipi hizo? Tiririka mkuu.
 
Unakutana na bomu ambalo litalipuka muda wowote, unajitoa ufahamu unalipenda na kulipetipeti then unaliomba muoane linakubali ila pale unapotaka kuliweka ndani linakupea masharti eti lazima uninunue kwa Tsh milioni 1.5 wakati huohuo likijua ndio unajitafuta🤔

Kwanini nisiendelee kuchezea mabomu mengine huku mtaani kwa bei chee?
Bado kitambo kidogo wanawake wataomba kuolewa hata bure....

Zama hizi mwanamke hawezi niringia wala wazazi wake kunipangia mahari! Kama wanataka kurudisha gharama walizomlea nazo wakumbuke hata mimi nina wazazi waliopambana kunilea.
 
Mm ni mstaafu kijana wangu.
ENDELEA KUDANGA MKUU. MUOAJI SERIOUS HAWEZI KUKOSA 1.5M
 
Subiri laana ya Mungu kwanza kwa kuzini na mtoto wa watu na halafu kudhihirisha kibri kwa kumdharau.
Bila kutubu na kuacha tabia zako hizo itafika siku utakosa mke hata wa bure.Watakukataa wao kwanza kabla ya wewe.
 
Duu umasikini mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…