Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa ajili ya nini ?Anapungukiwa mahari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ajili ya nini ?Anapungukiwa mahari.
Hoja za watibeli ni zipi hizo? Tiririka mkuu.Ungemwambia wewe unatakaje?
Mjadili na mfikie maafikiano pamoja.
Lakini ikiwa Mwanaume unawaza kama mtoto asiye na Akili ni Bora huyo dada amejinasua mapema na Mwanaume mjinga.
Kama wewe ni wale wasiotoa Mahari kama Sisi Watibeli basi ni vizuri ungempa hoja zako kuu kisha mzijadili Kwa pamoja na huyo mchumbaako, kisha atakayeshinda Kwa hoja zenye mashiko ndio mnachukua huo uamuzi kama uamuzi wa wote (ninyi)
Kama Mahari ni kubwa pia mngejadili kuwa uwezo wako ni kiwango Fulani, na utoe Sababu zenye mashiko.
Ni Bora Mwanamke abaki kuwa single au awe Kahaba na kujiuza Kwa wanaume wenye Pesa au wenye Akili kuliko kuwa na Mwanaume Mpumbavu
Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.
So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..
Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!
Ntachelewa sana kuoa ENDELEA
ENDELEA KUDANGA MKUU. MUOAJI SERIOUS HAWEZI KUKOSA 1.5MMm ni mstaafu kijana wangu.
Hoja za watibeli ni zipi hizo? Tiririka mkuu.
Subiri laana ya Mungu kwanza kwa kuzini na mtoto wa watu na halafu kudhihirisha kibri kwa kumdharau.Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.
So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..
Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!
Ntachelewa sana kuoa 😀
Sawa mkuu mtibeli....unaweza niwekea link niupitie..?Nilitoaga uzi
Duu umasikini mbaya sanaKuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa.
So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi..
Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi!
Ntachelewa sana kuoa 😀
Mama yako aliolewa kwa shingapi tuanze hapo ndio tutajua kama Nina akili au sinaHuna akili