Eti anataka mahari milioni 1.5



Eti na wewe ni mwanaume unasimamisha unataka mtoto wa watu huku unalalamikia mahari yq 1.5m?
 
Nakazia
 
Ndoa ni UTAPELI kuanzia hizo process za POSA na MAHARI utapeli unaanzia hapo. Umejionea?

Kataa Ndoa. Ndoa ni wizi.

Wenzio wamemtombesha bure bure wewe unaenda kuuziwa kwa 1.5 huku interest rate inapanda kwa matumizi INDIRECTLY ya kila siku kwake na kwa UKOO wake.
 
Hiyo ndio dawa yao.
 
Wewe ndio tatizo.
Unataka mke wa Buku 2?
 
Kanatokea huko kwwenu Kaliua ?
 
Hivi maana ya Mahari ni nini?...

Wanasema shukrani kwa wazazi wamemlea huyo binti hadi ukampata!
Je walio kulea wewe mwanaume kwaajiri yake nani atawashukuru?

Wanasema ni ownership ili kizazi kiwe chako..watoto wafwate jina lako!!
Je nikiacha wafwate la upande wa mama yao, upande wao wataleta mahari kwa mwanaume?(watoto wengi wanabase sana kwa mama afterall)..

Je, ni kumnunua mtu? Meaning atafanya kama ninavyo hitaji kila kitu...sidhani...wanaume wengi wanaishia kufanya wanawake wanayohitaji!!


Mahari ni nini?
 
. Siwezi toa 1.5m kwa ajili ya mahari 🥴🥴.
. Bora nikanunue kiti moto nitafune na Balimi ya kushushia. 😋😋😋
 
Anitafute mimi hiyo mahari ni ndogo Sana mzee. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…