Eti anatushangaa kwa kutokuoa au kuolewa

Eti anatushangaa kwa kutokuoa au kuolewa

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
yaani umebana kila kona hata hela ya kununua tu sukari achilia mbali unga wa sembe hatuwezi na usivyo na haya wala huruma unatushangaa kwanini hatuoni wala hatuolewi

kwa mfano cognizant ningetaka kumuoa huyo binti yako au huyo mjukuu wako mzuri mzuri na kukuambia sina uchumi wala shughuli ya uhakika ungekubali na kuruhusu awe nami?

acha tu unafiki na kutusanifu sawa?
 
Back
Top Bottom