Eti anatushangaa kwa kutokuoa au kuolewa

Eti anatushangaa kwa kutokuoa au kuolewa

yaani umebana kila kona hata hela ya kununua tu sukari achilia ?
Nyie watu mnahitaji kuongozwa na maraika,awamu ya tano mlisema haya na hii awamu bado mnasema haya ,kipi ni kipi?

Kiufupi inabidi mtambue hakuna mtawala awaye kwamba atakuwa anawagawia watu pesa pasina kufanya kazi,tofautina hapo mtakuwa watu wa kulalama tu hadi mnaenda kaburini.


Fanya kazi sio kuelekeza lawama kwa watawala,A lazy man blames his tools
 
Hapana ni mimaji hiyo hiyo 😂
Masika ya sasa sijui vuli, zinakuja kupatana na kiangazi cha kwakani ila bado mitaro/ na mitaa kuna maji yasiojua kukauka.
Ni Kwa baadhi ya maeneo bn! Afu mvua sehemu zote zinanyesha sana sema Watu wa dar wanapenda kulia lia Kila jambo mayowe
 
Ni Kwa baadhi ya maeneo bn! Afu mvua sehemu zote zinanyesha sana sema Watu wa dar wanapenda kulia lia Kila jambo mayowe
Nasikia Mbagala hamna mafuriko 😀😀

Mvua zinanyesha.. juzi kati usiku huku ilipiga nyingii, mpka unalionea huruma bati. Ila pakikucha hatuna furiko.
Mungu ni mwema, katuepusha kukaa karibu na mito.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana... Mama hua anawasoma humu wale kataa ndoa, kwa fake ID...


Cc: Mahondaw
 
yaani umebana kila kona hata hela ya kununua tu sukari achilia mbali unga wa sembe hatuwezi na usivyo na haya wala huruma unatushangaa kwanini hatuoni wala hatuolewi

kwa mfano cognizant ningetaka kumuoa huyo binti yako au huyo mjukuu wako mzuri mzuri na kukuambia sina uchumi wala shughuli ya uhakika ungekubali na kuruhusu awe nami?

acha tu unafiki na kutusanifu sawa?
Nani kasema? Majungu na uongo!
 
Nasikia Mbagala hamna mafuriko 😀😀

Mvua zinanyesha.. juzi kati usiku huku ilipiga nyingii, mpka unalionea huruma bati. Ila pakikucha hatuna furiko.
Mungu ni mwema, katuepusha kukaa karibu na mito.
Mbagala sijajua!
Watu wanajenga kiholela sana bn acha wasombwe
 
Wewe ni mtu ambaye haupaswi kutumia lugha za matusi wala kebehi kutokana na status yako kwenye hili jukwaa.

Hii ni 2024 usiishi kama ilivyokuwa 2023 kurudi nyuma.

Ishi kwa amani na wapinzani wako wakuu kama Dr Matola PhD na TUKANA UONE .

Mkuu unapambana na huyo ambaye hadi wazazi wake anawatukana!
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Ndio kwanza January mshaanza lawama 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom