Yaani uichukie arsenane kweli? Hayo ni matumizi mabaya ya chukiKwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili swali. Timu hii inasemwa kuw haina mafanikio, siyo timu kubwa, lkn inaweza kuwa inaongoza kwa kuchukiwa na mashabiki wa tumu za Man Utd, Chelsea na hata Liverpool (ukiondoa Spurs ambao ni arch rivals wao).
Kwann iwe hivyo wajameni. Unaweza kumchukia/kumuonea wivu maskini? Au kuna sababu nyingine?
Mla ni mla leo, mla jana kala mini?Yaani uichukie arsenane kweli? Hayo ni matumizi mabaya ya chuki
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
SanaMan Sister hao
Hujafanya homework yako vzr. The fact kwamba yeye si mshindani ni jambo moja, suala la kuchukua ni kitu kingine. Na hapo ndipo kwenye mzizi wa hii mada. Fuatlia kwa ukaribu kuanzia mitandaoni hadi vijiweni. Utabaini ukweli huuHakuna chuki yoyote labda baadhi ya mashabiki wa Arsenal Wana jishtukia. Arsenal Hana upinzani na yeyote katika kutafuta Mataji ya Epl, champion league au UEFA. Arsenal ni timu inayo toa changamoto Kwa timu kubwa Sasa kwanini ichukiwe na simpizani wa yeyote.
SawaAache kuchukiwa United achukiwe Arsenal!? Kwa kipi hasa!? Kuongoza ligi au!? Nikiwa kibandani umiza , nina maadui wa Arsenal, Liverpool, Chelsea na Man City. Hao wote natakiwa niwanyamazishe kwa kushinda.
Na leo mmeshindaAache kuchukiwa United achukiwe Arsenal!? Kwa kipi hasa!? Kuongoza ligi au!? Nikiwa kibandani umiza , nina maadui wa Arsenal, Liverpool, Chelsea na Man City. Hao wote natakiwa niwanyamazishe kwa kushinda.
Ndio. Tumeshinda Njaa.Na leo mmeshinda
Yaani afadhali EPL achukue adui yetu mkubwa City kuliko uchukue wewe.Washabiki wa man united ndio wanaongoza kutuchukia
SanaWashabiki wa man united ndio wanaongoza kutuchukia
Chuki ya dhahiriYaani afadhali EPL achukue adui yetu mkubwa City kuliko uchukue wewe.
HahahahahaaaNdio. Tumeshinda Njaa.
Adui muombee Njaa. Hujawahi sikia hii!?Chuki ya dhahiri