Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili swali. Timu hii inasemwa kuw haina mafanikio, siyo timu kubwa, lkn inaweza kuwa inaongoza kwa kuchukiwa na mashabiki wa tumu za Man Utd, Chelsea na hata Liverpool (ukiondoa Spurs ambao ni arch rivals wao).
Kwann iwe hivyo wajameni. Unaweza kumchukia/kumuonea wivu maskini? Au kuna sababu nyingine?
Kwann iwe hivyo wajameni. Unaweza kumchukia/kumuonea wivu maskini? Au kuna sababu nyingine?