MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #21
Sidhani kama inawezekana ikiwa mtu amependa kwa moyo....yanayokontroliwa ni yale yanayotumia akili zaidi!
Besides ni ubinafsi kuacha kumjali na kumpenda mwenzako ipasavyo kisa hutaki ajue kwake umefika!
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, WL mydia am fyne darling hope uko poa. Nimekumisije?
Yaani hii kitu iko serious mydia more than we think................kina kaka wanadai kuwa ili mwanamke asikusumbue mwonyeshe mapenzi 'nusu' loh sijui ndo aje eti wanadai mwanamke akijua 'kwake hupindui' i.e. unampenda sana atakusumbua ....na sie kina dada huwa tunaamini kuwa mwanaume akijua kwake 'umefika' utabana ngenge......sasa sijui ni aje hapo
Hicho ndo wengi wanajidanganya, too much kushindana katika mapenzi...
Nyie kama mnapendana kweli na kila mmoja kumpenda mwenzi wake ipasavyo
naamini inatosha... kinacho fanya watu wachokane katika mapenzi ni failure katika
tendo la sex... na sex si tu lile tendo ni attitude yenu towards sex na jinsi gani
mnaichukulia priority...
Pamoja na kusema sex si pekee... naamimi if you really love a person you do
anything for her/him... sasa kama hio sector ya loving each other mumemudu
inayobaki ni SEX...
Lizzy mpenzi yaani hata mie najiuliza how can someone jifanya hapendi (si ndio maana ya kutomwonyesha??) wakati amekufa ameoza?? Mie bado elewa kabisa kwa kweli!! Kuna wakati nilikuwa nablamiwa .....na we nae umezidi kumwonyesha nampenda ndo mana anakutenda..............sasa sielewi una'jifichaje?'
Sasa usipomuonyesha kuwa kwake umefika si atadhania kweli hujafika. Mantiki zingine bana….taabu kweli kweli.
Na akishadhania kuwa kwake hujafika na akatafuta mwingine utafanya nini? Utamlaumu? Utambembeleza na kumwambia umefika?
nafikiri waga wanamaanisha usimuonyesha mtu uko desperate sana,kwamba kama ye hayupo basi na maisha nayo basi....mpende,mheshimu,mtunze,mshauri lakini kamwe usimfanya binadamu mwenzio kuwa kama mbadala wa maisha yako.....binadamu hubweteka na kujisahau wakati mwingine na kuona wao ndo kila kitu,as in kama wao hawapo basi tena....lakini hiyo sentensi haina maana unampenda mtu umuonyeshe unamchukia...la hasha,kuwepo na kiasi,na reasoning kwenye decision....nenda kwa akili na moyo wako pia,kuwe na kiasi!!
Hicho ndo wengi wanajidanganya, too much kushindana katika mapenzi...
Nyie kama mnapendana kweli na kila mmoja kumpenda mwenzi wake ipasavyo
naamini inatosha... kinacho fanya watu wachokane katika mapenzi ni failure katika
tendo la sex... na [COLOR=red]sex[/COLOR] si tu lile tendo ni attitude yenu towards [COLOR=red]sex[/COLOR] na jinsi gani
mnaichukulia priority...
Pamoja na kusema [COLOR=red]sex[/COLOR] si pekee... naamimi if you really love a person you do
anything for her/him... sasa kama hio sector ya loving each other mumemudu
inayobaki ni [COLOR=red]SEX..[/COLOR].
Wanajamii
Natumaini wote wazima.........................
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikie kuwa ..Kama unataka mwanaume/mwanamke wako kimapenzi asikuchoke basi usimwonyeshe kuwa kwake umefika............yaani hata kama unampenda sana basi unatakiwa usionyeshe!!!
How do people do that?? Mapenzi si wanasema ni kikohozi, hayajifichi?? sasa hapa inakuwaje au inakuwagaje?
Hichi ndicho nilichokuwa nataka kuandika. ubarikiwe michelle.nafikiri waga wanamaanisha usimuonyesha mtu uko desperate sana,kwamba kama ye hayupo basi na maisha nayo basi....mpende,mheshimu,mtunze,mshauri lakini kamwe usimfanya binadamu mwenzio kuwa kama mbadala wa maisha yako.....binadamu hubweteka na kujisahau wakati mwingine na kuona wao ndo kila kitu,as in kama wao hawapo basi tena....lakini hiyo sentensi haina maana unampenda mtu umuonyeshe unamchukia...la hasha,kuwepo na kiasi,na reasoning kwenye decision....nenda kwa akili na moyo wako pia,kuwe na kiasi!!
...ili kulijibu swali hili kinagaubaga, inabidi kwanza tutafsiri "kuonyesha" mapenzi maana yake nini.
Yule ambaye yupo 'in control' (anayejiamini(?)) kwenye mahusiano,
Yule ambaye yupo 'out of control' (asiyejiamini) kwenye mahusiano,
- haangaiki kuchunguza mwenza wake yupo wapi, na nani, na anafanya nini.
- hakosi usingizi, wala hapotezi hamu ya kula kwa sababu ya mpenzi wake, nk,...
...Iwapo asiyejiamini anashindwa kutojionyesha hisia zake, Je?... yule anayejiamini (in control)
- haishi kuchungua, kupekua, kudadisi, nk nk...
- hawezi hata kujificha hisia zake.
tunaweza mhukumu kwamba haonyeshi mapenzi?
Tukishajibu hilo, tunaweza kuchambua aina za mapenzi (kutokana na nyakati) zinavyoweza athiri tabia za
wawili wapendanao kiasi cha kupelekea mmoja kujisikia haonyeshwi mapenzi inavyostahiki.
Kupenda sio kosa wala kuonyesha mapenzi sio kosa, kosa ni kuonyesha kuwa huwezi kuishi bila mapenzi ya fulani.
Code:Hicho ndo wengi wanajidanganya, too much kushindana katika mapenzi... Nyie kama mnapendana kweli na kila mmoja kumpenda mwenzi wake ipasavyo naamini inatosha... kinacho fanya watu wachokane katika mapenzi ni failure katika tendo la sex... na [COLOR=red]sex[/COLOR] si tu lile tendo ni attitude yenu towards [COLOR=red]sex[/COLOR] na jinsi gani mnaichukulia priority... Pamoja na kusema [COLOR=red]sex[/COLOR] si pekee... naamimi if you really love a person you do anything for her/him... sasa kama hio sector ya loving each other mumemudu inayobaki ni [COLOR=red]SEX..[/COLOR].
SEX ndiyo njia pekee ya mwanaumme kuwasiliana na mwanamke na akaelewa kuwa ujumbe umefika bila ya zengwe sasa ukimchakachua hapo utajua yeye ni nani....................
Mimi nadhani kuna vitu tunavichanganya katika hizi anga za mapenzi! labda niulize suali, Hivi kumuonesha mtu kuwa unampenda ni lazima udhalilike kwake ndio ajue?Kwa hiyo kaka yale maneno huwa ni danganyia toto?
Nyani hilo ndo linalonishangaza....but kwenye vijiwe nimeshasikia sana hii ........usimwonyeshe mwanamke/mwanaume kuwa kwake umeoza..........atakunyanyasa.
Asha D.......hili ni darasa zito but muhimu hebu tudadavulie tafadhali. Kuna ujumbe mzito sana hapa
Thanx Mbu may be tukianzia hapa............... kuonyesha nilikomaanisha mie hapa ni kuwa unamjali saaaana, unamfeel sana
....na hii inahusisha na ku'declare' your true feelings kwake.......I think
[COLOR=darkorchid said:My stand...
[/COLOR]
You love someone please let them know, na kwa vitendo kwa kujali na kuwajali pamoja na mambo yoote ambayo ni muhimu katika maisha yao... Give your best so that ikishindikana mnaachana you know deep down that that was your best but it was never meant to be... be your best that you are forever imprinted in his/her mind - kwamba hata kama alinipiga buti huko aliko ananikumbuka na anajuta uamuzi alokua amechukua... Mapenzi ya kweli you give and give and give.... mpaka pale unaopoona kua hapakufai tena au kama una bahati unakua ndo umefika.
And thats my stand as well (not one night stand lol), give and show your love but as a matter of precaution nadhani pia ni vizuri mwenza wako akahisi au kujua how strong you are just in case akileta za kuleta, Sisi ni binadamu na tuna udhaifu unatutawala hata tukiupinga, samtaim ni vizuri tukaweka misingi imara ili kuuepusha udhaifu wetu kuteka maisha/mapenzi yetu.
aaargh! inabidi nilog out. baadae waheshimiwa
Eh??? Naomba ufafauzi hapa kabla sijabisha maana nilivyo mbishi hapa nawezasimama juu ya key board kaka yangu