MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #21
Sidhani kama inawezekana ikiwa mtu amependa kwa moyo....yanayokontroliwa ni yale yanayotumia akili zaidi!
Besides ni ubinafsi kuacha kumjali na kumpenda mwenzako ipasavyo kisa hutaki ajue kwake umefika!
Lizzy mpenzi yaani hata mie najiuliza how can someone jifanya hapendi (si ndio maana ya kutomwonyesha??) wakati amekufa ameoza?? Mie bado elewa kabisa kwa kweli!! Kuna wakati nilikuwa nablamiwa .....na we nae umezidi kumwonyesha nampenda ndo mana anakutenda..............sasa sielewi una'jifichaje?'