Eti awe mwanamke.

ameen, anamaanisha $ 3,500 🙁
 
masikini wamesha m-cameron huyo mtoto.
 
mbona pesa bado hazitoshi hizo,lol makuku hayo ya kizungu
 
Huyo mtoto atakuwa ameanza kupumuliwa kisogoni.
 
Utandawazi huo.
 
Wandugu, inabaidi tumuombea Mungu kwa ajili ya ndoa na familia zetu, na hasa watoto wetu! I am trying to figure out ningefanya nini kama mi ndo ningekuwa baba wa huyo mtoto.
 
Wandugu, inabaidi tumuombea Mungu kwa ajili ya ndoa na familia zetu, na hasa watoto wetu! I am trying to figure out ningefanya nini kama mi ndo ningekuwa baba wa huyo mtoto.

Malezi bila ya msaada wa Mungu hakika tutashindwa
 
Dah pole zangu kwa wazazi wa huyu kijana; Mungu pishia mbali uchuro huu usiwakumbe wanetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…