Eti baby nakutania tu bana!

Eti baby nakutania tu bana!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,750
Reaction score
2,283
Baada ya kumzungusha jamaa siku nyingi huku akihudumia mzigo,,
akaamua kuhoji namna gani mbona hunipi tunda la roho sasa mbwembwe nyingi?
Akasema Baby Mi kwakweli nivumilie tu mpaka tuoane ndo ntakupa maana nimechezewa sana na wanaume bira mafanikio staki kabisa huo mchezo tena!
Jamaa akasema:- Sawa Lakini na mimi ntasitisha kukupa hela ili angarau niwe nazitunza ili tukioana zitusaidie badae!
Mama kuona vile:- Baby bana nakutania tu mwaya ntakupa tu nakupnda sana!!?
**Mmmmh mademu wa krne hii htari**
 
Karibu mkuu nimependa utambulisho wako, karibu mtaa wa mmu na chit_chat tupo huko wenyeji wako.
 
Back
Top Bottom