Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Hii ni aina ya 'Upumbavu' iliyowagubika viongozi wetu wengi. Yani haya ndiyo yanapelekea uvunjivu wa sheria kila mara na tunatafuta vijisababu vya 'kijinga' na kuzidi kuwatwisha walalahoi wengi mzigo wa ongezeko la gharama za maisha.Alisema wafanyabishara wamekuwa wakipata faida kubwa katika mafuta wanayoyauza baada ya kuyachakachua kutokana na mafuta ya taa kutozwa kodi ya shilingi 53 kwa lita na dizeli na petroli kutozwa shilingi 490 kwa lita pindi wanapoyaingiza. http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=16637
Yani mnashindwa kuwadhibiti wachache mnaamua mzigo wote kuubwaga kwa walalahoi walio wengi?
Inakera SANA