Eti clouds fm ndio radio kubwa kuliko zote kwenye "kaya" yetu

Eti clouds fm ndio radio kubwa kuliko zote kwenye "kaya" yetu

IDDI M CHAMSHAMA

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
168
Reaction score
38
Naomba mnisaidie ili nijue ipi radio kubwa kuliko nyingine,ili baada ya hapo nifanya maamuzi sahihi
 
Ni Radio Tanzania Dar es salaam, a.k.a TBC Taifa.
 
RFA sidhani kama kuna sehemu isiyopatikana Tanzania.

Hizo zingine labda kwa mbwembwe zinaweza.!!
 
Bado sijaona radio ya kumtoa RFA namba moja
 
sasa kwann watu wanaishobokea sana hiyo klauz wakati mawimbi yake hayafiki mbali?kuna kitu kinakosekana kwnye izo redio zngn mpaka waishobokee? dadavueni vzr wadau
 
huyo demu wa kona Bar mwambiee aende kule MMU wanajadili namna ya kusafisha papuchi isitoe harufu, nikirudi kwenye mada Radio free na Kiss Fmeee nazkubali mbaya xema nowdayz usikivu wao cyo mzuri xana
 
kila radio ina vipindi vyake ambavyo vinapendwa kulingana na m2 uko wapi ni saa ngap unafanya nn na unahitaji nn kwa muda huo, kwamm asubuh nackiliza RFA+WAPO,mchana EA+CLOUDS+UHURU,jioni TIMES+CLOUDS(sports extra only habar za out of bongo) radio zote kwangu zinanafac
 
Radio kubwa ni GRUNDIG ya kijerumani...sema tu hazipatikani sana kwenye soko kutokana na gharama zake kuwa juu, na wabongo tunamudu zaidi bidhaa za kichina.....
 
Back
Top Bottom