ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wewe ndio ulisema inahitaji uvumilivu kumiliki Passo? Naona akili yako unaijua mwenyewe.Nasisitiza tena Crown in Taxi huko Japan. So, usijivimbishe kwenye crown ukajiona mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio ulisema inahitaji uvumilivu kumiliki Passo? Naona akili yako unaijua mwenyewe.Nasisitiza tena Crown in Taxi huko Japan. So, usijivimbishe kwenye crown ukajiona mjanja
Nilifikiri mi ndo huwa navuta mneli peke zangu kumbe tuko wengi 😂😂😂Kwani GX110 inatumia indicator badala ya MAFUTA?!?
Anyway mtoa mada ana GX110 imekosa mteja.
Me ni Punda navuta mkokoteniNilifikiri mi ndo huwa navuta mneli peke zangu kumbe tuko wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu FB nimeona thread ya jamaa anajita mtaalamu wa magari anajinadi eti ni bora tukaachana na vibaby walker tujikite kwenye crown jini mla mafuta, binafsi ametoa chai nyingi ,je hii ni kweli au ndo wale mafundi wa chini ya mwembe gari limeharibika shokapu anakimbilia kufungua engine?
UNAJUA MAGARI YANA MFAAA MTU WA HALI YA CHINI??
UNAJUA GARI GANI AMBAYO HAINA MECHANICAL PROBLEMS?
UNAJUA GARI YENYE CC NDOGO YANAGHARIMU ZAID PESA KULIKO YA KAWAIDA??
FUATILIA UZI HUU
Watu wengi wamekuwa vipofu kujiuliza gari ipi ni sahihi kununua kwa gari yake ya kwanza , lakini kabla huja anza kujikuna kichwa hemu tuweke dondoo za vigezo husika vya kujiuliza.
1.ubora wa injini
2.uimara wa body ikiwa mpya na baada kupata misukosuko
3.matumizi ya mafuta
4.safety , yaani usalama wa gari
5.historia la gari husika.
6.Rangi
7.matumizi,vijijini
8.gharama ya vipuri
7.Mengineyo
Unapo nunua gari jaribu kurejea hayo, usiangalie kigezo kimoja kutoa maamuzi, kwa mfano matumizi ya mafuta unanunua gari mbovu ,kisa gari haili mafuta yaani cc chini, sasa jamani gari unataka ile kashata au bagia??
Twendeni taratibu, anaetengeza injini na gari lenyewe ni department tofauti ila anae tengeza body huchangua gari hii tufunge injini gari ili afaulu , ndupo utakuja kujua gari moja ina injini tofauti, kwa sababu tofauti , kukidhi uimara na ulaji mdogo zaid.
Utakuta IST inafungwa injini karibu 3 tofauti, zipo 1NZ ,2NZ au hata 1az , kila moja ina sababu kwanini wamefunga ikiwa 2Nz unaweza kuikuta na 4wD ili kuihimiri nguvu ya 4WD.
Au kama MARK 11 zipo mpk zina 1Jz au 1G vvti. Sasa marufuku kuikumu gari gari zile mbovu , basi hemu uliza gari ile ina injini gani,
Familia ya NZ , yaan kina 1Nz au 2NZ zimejizolea umaarufu mkubwa kwa matumiz ya mafuta, ndo maana watu wamekimbilia 1ST haili mafuta , No No sema 1NZ haili mafuta, na imefungwa magari lukuki km SPACIO,RAUM,OPPA, ALLEX ,RUNEX hata VITS , magari yote hayo yamefungwa familia ya NZ kama 1NZ au NZ.
Sasa ukitaka kuchagua gari angalia pia body ya gari , hapo ndo utaamua sasa mimi napenda ulaji mdogo wa mafuta , na napenda familia ya NZ , je nichague mke yupi, mnene,mwembamba,au mfupi ila wote wanawake na wana radha tofauti🤣🤣 hapo naona msomaji umefurahi kusikia radha tofauti.
Na hapo ndo utajua utamu wa RAUM , SPACIO NA IST ILA INJINI MOJA.
NIFUPISHE HABARI
GARI AMBAYO IMEKIDHI SIFA KWA MTU ANAENZA MAISHA ni Toyota Mark 11 au GX110 gari hii ikiwa imefungwa 1G vvti , haki ya mungu ni pick ndogo, body vumilivu,injini iliyo shinda tuzo toka mwaka 2000 mpk 2004.
Tecknolijia ilipo kuja CROWN cc 2490 imekuja kushika nafasi kwa magari ya kisasa , mfumo wake una VVTI 4 , hivo mafuta mule kama kina familia ya NZ, mafuta kidogo mnoo , sema bei kidgo changamoto sio rafiki kwa maskini aanzae kumiliki gari.
Vigezo vingine tutaendelea kuviweka hapa , jaribu kujiunga kwenye group letu la wasapu