4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mtapigwa Kama mgoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine
Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki
Tukarine asali mkuu tukijaaliwa kupata mizinga isiyo na mwenyeweMkuu aya mambo wayatoaga wapi mkuu, ? Mungu akawe juu yako na imekua
Hawa anajiita deep state ,wanamaufaa katika mazingira flani, ila lengo kuu kuogopesha utawala ulio Madarakani Ili wapige pesa, hakuna deep state isiyokuwa na rais mstaafu Duniani kote, anaebisha aje ana hoja Hapa,MKUU
Mi huwa nakaa kinyonge Sana najiuliza hivi:-katika kundi la hao wote hakukuwa hata na MMOJA aliefikiria kuandaa vyama mbadala vya kubadilishana na ccm kushika hatamu Hadi ccm ikachokwa na kuanza KUTUMIA vyombo vya dola kubaki madarakani na Sasa imefikia hatua baadhi ya wanachama wanahisi urais ni haki yao ya asili na sio ya wengine!!?
Yaani hakukuwa na hata MMOJA wa kuyawaza haya Hadi ccm imejisahau na kuendekeza UPIGAJI na UFISADI na kulifanya taifa Hadi leo baada ya miaka 60 ya Uhuru eti maji na UMEME bado ni kizungumkuti!?
Mimi ningekua member wa hao jamaa nisinge vumilia haya ningeomba msamaha watz na kuombwa uraia NCHI NYINGINE coz haiwezekani Wewe ni Tisa au Deep state Member usione hilo miaka walau KUMI na tano iliyopita!!
Nisamehe Yehova kuzaliwa katika NCHI hii na kushuhudia aibu hii naona aibu sana kuitwa mtz kwa haya ninayoyashuhudia!!
Nini hichi? Mshana umeanza uchawi wa wazi wazi
🤣🤣🤣🤣 Mambo ya kulamba asali hayo.
Ameen ameennasema CHADEMA ITAENDA UNDA SERIKALI IJAYO , wadhubutu moto wa hii kitu
Asali hiyoNini hichi? Mshana umeanza uchawi wa wazi wazi
Akasikika mtu mmoja akibeza, yatunze aya ,ni swala la mda utakuja kufuta mwenyeweNi wewe mwenyewe na familia yako walahi [emoji35]
Hayo ni maneno ya mtu mvivu [emoji3062] kwendraaaa kafie mbele ptuuuuu!
Mda wa nchi na watu wake kula asali na kusaza imewadiaNini hichi? Mshana umeanza uchawi wa wazi wazi
Hiii kitu imenivutia mpk nimejing'ata
HahahahHiii kitu imenivutia mpk nimejing'ata
Kukitokea uwakilishi bungeni kwenye mambo ya ulimwengu wa pili naomba unipendekeze tafadhaliBaada ya siku 47 kuanzia leo nitakuja na majina ya vijana ambao CHADEMA ni muhim kuwa nao Bungeni pale au siku mtaona ni rasmi kuingia kwenye uchaguzi,
Note
Binafsi nitapendekeza ila sio kwamba naingilia uhuru wa chama kwenye taratibu zenu za kichama ,nikibarikiwa na imekua
Kukitokea uwakilishi bungeni kwenye mambo ya ulimwengu wa pili naomba unipendekeze tafadhali