Ni haki yao kulalamikia yale wameona kiongozi wao amewaingiza mkenge.Msukumo hasa ulionifanya kuandika Thread hii ni kuchoshwa na vyombo vya habari na baadhi ya wananchi kuchukua muda mwingi sana kulizungumzia tabasam la Kikwete kama upungufu mkubwa katika uongozi wake. Ni matumaini yangu kuwa katika siku zijazo hatutachanganya kati ya udhaifu (kama upo) na tabasam lake. Binafsi sipendi bosi wangu awe amenuna nyakati zote, ili nijue ndie Bosi mzuri. Kwa bahati mzuri Bosi wangu ni mcheshi na anatabasam zaidi ya Kikwete, lakini ni mchapaji kazi mzuri sana. Hii inanikumbusha wakati mgumu nilipokuwa sekondari, ambapo head master wa shule sikumuona kutabasam hata siku moja kwa kipindi cha miaka minne. Na kwa ukweli tulikuwa tukimuogopa kama simba. Hapana sipendi kukumbuka.
Vyombo vya habari vilikuwa tegemeo kubwa la Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005.Ni haki yao kulalamikia yale wameona kiongozi wao amewaingiza mkenge.
Kumbuka vyombo vya habari na hao baadhi ya wananchi ndio tegemeo kubwa la JK kuingia madarakani.
Umegusa maeneo ya msingi sana pale ulipoandika: "Ishu hapa ni mgawanyo wa madaraka kati ya mihimili mi4. Serikali, bunge, mahakama na media. Hapo pakikaa sawa, ruksa jk kutabasam na kutoa"Wala sababu si hizo zilizotolewa na mtoa mada. Pengine ana uswahiba na jk. Mara nyingi nasikia eti watu wanamshauri rais vibaya. Mara ooh, watendaji wa jk ndo wana kasoro. Lowasa akiwa rais na mambo yakaenda kombo tutasema eti wanamshauri vibaya? Tazama, jk anapoumwa anasema mwenyewe hakusikiliza ushauri wa walio karibu nae. Mambo ya nchi yanapokwenda kombo wanasema rais hakushauriwa vizuri. Tatizo ndo liko hapo-unafiki wa kutokutaka kuonekana mbaya. Jk mwenyewe anafanya makosa kibao ya kiutendaji halafu lawama zinaenda kwa washauri. Tufike hatua tumwambie jk, mkuu, hapo umechemsha! Unaposema eti smile, mara uhuru, huko ni kukwepa hoja za msingi. Hakuna taifa huru kama USA na marais wachangamfu kama wa USA lakini fanya fujo uone. Ishu hapa ni mgawanyo wa madaraka kati ya mihimili mi4. Serikali, bunge, mahakama na media. Hapo pakikaa sawa, ruksa jk kutabasam na kutoa uhuru
kama kweli wapinzani wanajiandaa kutumia hizo sababu tatu kama ndio kampeni kuelekea uchaguzi 2010, basi waelewe kuwa ccm itashinda kirahisi kuliko chaguzi nyingine zote.
ninavyoelewa mimi katika awamu hii ya 4, bunge liko huru sana, mpaka hata wabunge bubu wa ccm nao wameanza kusema.
Vyombo vya habari vilikuwa tegemeo kubwa la Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005.
Mwaka 2010, tegemeo kubwa ni : kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Sasa hivi hahitaji sana vyombo vya habari kwa sababu wanyonge wameshaelewa kazi yake. Na silaha kubwa kati ya zote ni mzunguko wa pesa ulivyo rahisi na kumuwezesha kila mwenye ari ya kufanya kazi kujiwezesha. Wavivu ndio wanaokiona katika serikali hii ya Kikwete. Na nchi yeyote huendelea pale wananchi wake watapokuwa na juhudi ya kazi. Na kazi ya serikali ni kuwapa mianya hiyo na kuwawezesha.
Tamko hilo la mzunguko wa pesa utalisikia katika kila mkoa uendao, kitu ambacho chaonyesha jinsi watanzania wanavyoujua uchumi. Wale wanaodhaniaa watanzania ni wajinga, basi hawawaelewi watanzania. Watanzania walio wengi ni watu wavumilivu, makini, wasio na ndoto za ajabu na ni watu waishio katika uhalisia. WATANZANIA HAWAISHI KATIKA ULIMWENGU WA ABUNUASI. Wao ni wajuzi wa kutenganisha kati ya kampeni za uchaguzi na ukweli halisi kiutendaji. Na kwa mantiki hii ndio baadhi ya watanzania hukurupuka na kuwatukana watanzania kuwa ni wajinga.
Suala la kutotimiza ahadi zote wanazoahidi wagombea, si tatizo la Afrika au Tanzania tu, bali ulimwenguni kote hata huko Ulaya. Michezo hii ya kuigiza ya kukimbia nchi nzima na kucheza Zekamedi kwa kuahidi Paradise, wakati wote wanafahamu haiwezekani ndio ilizozifanya nchi kama China kukataa Demokrasia ya aina hiyo. Na Urusi ikavunja vunja upinzani na kuzingatia uchumi tu, huku ikipiga Gelesha kwa west kuwa wanavyama vingi.
Katika yote yatazungumzwa lakini tofauti kubwa ya utawala wa Mkapa na Kikwete ni MZUNGUKO WA PESA. Wakati wa Mkapa uchumi ulikuwa lakini mzunguko wa pesa ulikuwa mgumu sana ukilinganisha na sasa. Na njia pekee ya kuwasaidia wanyonge ni kuhakikisha kuwa kuna urahisi wa mzunguko wa pesa. Hii inamuwezesha mkulima kuuza mazao yake kirahisi, mjenzi vile vile, muuza vitambaa naye atafaidika sawa na mshonaji, halikadhalika kwa kuli na muuza madafu. Na huu ndio mtaji wa Kikwete kuelekea uchaguzi 2010.
Na silaha kubwa kati ya zote ni mzunguko wa pesa ulivyo rahisi na kumuwezesha kila mwenye ari ya kufanya kazi kujiwezesha. Wavivu ndio wanaokiona katika serikali hii ya Kikwete. Na nchi yeyote huendelea pale wananchi wake watapokuwa na juhudi ya kazi. Na kazi ya serikali ni kuwapa mianya hiyo na kuwawezesha.
Kati yake na yeye ambaye hajasoma nafikiri wewe ndio unatakiwa kuanza chekechea duh aibu!!!Wewe ni mpumbavvu hujui kitu chochote,nadhani unachojua ni kula na kushiba tu!!
Jambo la kwanza kwa Serikali yoyote makini ni kucontrol INFLATION tafuta kiwango cha inflation miaka 5 iliyopita ulinganishe na sasa!!!
Nenda shule ukasome!!!
Umegusa maeneo ya msingi sana pale ulipoandika: "Ishu hapa ni mgawanyo wa madaraka kati ya mihimili mi4. Serikali, bunge, mahakama na media. Hapo pakikaa sawa, ruksa jk kutabasam na kutoa"
Vizuri, nipe pause kidogo.... Hebu andika mapungufu yaliyopo leo hii katika mihimili hiyo 4.
Ninavyoelewa mimi katika awamu hii ya 4, Bunge liko huru sana, mpaka hata wabunge BUBU wa CCM nao wameanza kusema. Media ndio zimebinafsishwa na hakuna muandishi anayekwenda kumuuliza Kikwete au waziri wa Habari na utamaduni nini aandike na ninin asiandike. Serikali ndio hiyo kama unavyoiona imejipunguzia nguvu zake. Ndio maana choko choko za Bungeni zimewalazimisha mawaziri kujiuzulu.
Mahakama ndio tatizo la wazi kwa muono wangu.
Nakuomba utoe mapendekezo yako vile mgawanyo wamadaraka ungependelea uwepo katika mihimili hiyo 4.
Naona umegeneralize sana. Nilitegemea ungetoa point moja moja na mifano halisi. Kwa mfano unapozungumzia EPA, si mambo bado yanaendelea. Kesi ziko mahakamani, wengine wamekimbia nchi na wengine wamerudisha pesa. Si hatua kamili lakini ni mwanzo mzuri kuelewa kuwa hakuna wateule.kiufupi ni kwamba, bunge linapotaka kujiendesha wabunge wa chama tawala wanaitwa kando na kupewa opium of the mind. Spika nae anawindwa. Wabunge wapinga ufisadi wanaandamwa. Kwenye media ndo kama hivyo. Ukizungumza kidogo kuhusu ufisadi unaandamwa na serikali. Vyombo vyako vitaandamwa na biashara zako kusulubiwa. Lazima useme ndio mzee! Serikalini kuna haja ya kuzungumzia? Mara ngapi imeingilia bunge na mahakama? Mahakama je. Inaonyesha udhaifu kiasi gani. Kwanza hazina uwezo wa kujiendesha. Kesi zinachukua mda hadi zinachacha. Ni watoto wa wakubwa wangapi wamefanya makosa lkn wako juu ya sheria? Ni vigogo wangapi wako juu ya sheria? Kifupi hao akina mramba ni zengwe la next election. Liyumba ni chuki binafsi. Kwani alianza kula jana? Kesi za rada, richmond, epa, zombe, n.k ziko wapi? Hayo ni kwa muhtasari tu. Mengine naomba uongezee
Haya mwenzetu mwerevu tupe mwanga. Ni tabu kweli maana nyie werevu hamkupewa nchi, wapumbavu wakapewa nchi na ndio wanaharibu.Wewe ni mpumbavvu hujui kitu chochote,nadhani unachojua ni kula na kushiba tu!!
Jambo la kwanza kwa Serikali yoyote makini ni kucontrol INFLATION tafuta kiwango cha inflation miaka 5 iliyopita ulinganishe na sasa!!!
Nenda shule ukasome!!!
Zawadi Ngoda said:Tatizo letu hatuna wabunge wengi kwa wapimzani. Mbona akina Slaa na Zitto wanasema na bado wapo. Tungelikuwa na wabunge wengi wa upinzani, tungefaidika na sauti zao. Ni bora kuwa na wabunge wengi wa upinzani kuliko kuwa na Rais toka upinzani na tukiwa na idadi ileile ya wabunge wa CCM.
Vyombo vya habari vilikuwa tegemeo kubwa la Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005.
Mwaka 2010, tegemeo kubwa ni : kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Sasa hivi hahitaji sana vyombo vya habari kwa sababu wanyonge wameshaelewa kazi yake. Na silaha kubwa kati ya zote ni mzunguko wa pesa ulivyo rahisi na kumuwezesha kila mwenye ari ya kufanya kazi kujiwezesha. Wavivu ndio wanaokiona katika serikali hii ya Kikwete. Na nchi yeyote huendelea pale wananchi wake watapokuwa na juhudi ya kazi. Na kazi ya serikali ni kuwapa mianya hiyo na kuwawezesha.
Tamko hilo la mzunguko wa pesa utalisikia katika kila mkoa uendao, kitu ambacho chaonyesha jinsi watanzania wanavyoujua uchumi. Wale wanaodhaniaa watanzania ni wajinga, basi hawawaelewi watanzania. Watanzania walio wengi ni watu wavumilivu, makini, wasio na ndoto za ajabu na ni watu waishio katika uhalisia. WATANZANIA HAWAISHI KATIKA ULIMWENGU WA ABUNUASI. Wao ni wajuzi wa kutenganisha kati ya kampeni za uchaguzi na ukweli halisi kiutendaji. Na kwa mantiki hii ndio baadhi ya watanzania hukurupuka na kuwatukana watanzania kuwa ni wajinga.
Suala la kutotimiza ahadi zote wanazoahidi wagombea, si tatizo la Afrika au Tanzania tu, bali ulimwenguni kote hata huko Ulaya. Michezo hii ya kuigiza ya kukimbia nchi nzima na kucheza Zekamedi kwa kuahidi Paradise, wakati wote wanafahamu haiwezekani ndio ilizozifanya nchi kama China kukataa Demokrasia ya aina hiyo. Na Urusi ikavunja vunja upinzani na kuzingatia uchumi tu, huku ikipiga Gelesha kwa west kuwa wanavyama vingi.
Katika yote yatazungumzwa lakini tofauti kubwa ya utawala wa Mkapa na Kikwete ni MZUNGUKO WA PESA. Wakati wa Mkapa uchumi ulikuwa lakini mzunguko wa pesa ulikuwa mgumu sana ukilinganisha na sasa. Na njia pekee ya kuwasaidia wanyonge ni kuhakikisha kuwa kuna urahisi wa mzunguko wa pesa. Hii inamuwezesha mkulima kuuza mazao yake kirahisi, mjenzi vile vile, muuza vitambaa naye atafaidika sawa na mshonaji, halikadhalika kwa kuli na muuza madafu. Na huu ndio mtaji wa Kikwete kuelekea uchaguzi 2010.
Kati yake na yeye ambaye hajasoma nafikiri wewe ndio unatakiwa kuanza chekechea duh aibu!!!
ehee endelea akisha-control inflation.... kinachofuata...na una-control inflation kwa kufanyeje? fafanua...
Hapa ndipo umeniacha hoi!Vyombo vya habari vilikuwa tegemeo kubwa la Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005.
Mwaka 2010, tegemeo kubwa ni : kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Sasa hivi hahitaji sana vyombo vya habari kwa sababu wanyonge wameshaelewa kazi yake. Na silaha kubwa kati ya zote ni mzunguko wa pesa ulivyo rahisi na kumuwezesha kila mwenye ari ya kufanya kazi kujiwezesha. Wavivu ndio wanaokiona katika serikali hii ya Kikwete. Na nchi yeyote huendelea pale wananchi wake watapokuwa na juhudi ya kazi. Na kazi ya serikali ni kuwapa mianya hiyo na kuwawezesha.
Tamko hilo la mzunguko wa pesa utalisikia katika kila mkoa uendao, kitu ambacho chaonyesha jinsi watanzania wanavyoujua uchumi. Wale wanaodhaniaa watanzania ni wajinga, basi hawawaelewi watanzania. Watanzania walio wengi ni watu wavumilivu, makini, wasio na ndoto za ajabu na ni watu waishio katika uhalisia. WATANZANIA HAWAISHI KATIKA ULIMWENGU WA ABUNUASI. Wao ni wajuzi wa kutenganisha kati ya kampeni za uchaguzi na ukweli halisi kiutendaji. Na kwa mantiki hii ndio baadhi ya watanzania hukurupuka na kuwatukana watanzania kuwa ni wajinga.
Suala la kutotimiza ahadi zote wanazoahidi wagombea, si tatizo la Afrika au Tanzania tu, bali ulimwenguni kote hata huko Ulaya. Michezo hii ya kuigiza ya kukimbia nchi nzima na kucheza Zekamedi kwa kuahidi Paradise, wakati wote wanafahamu haiwezekani ndio ilizozifanya nchi kama China kukataa Demokrasia ya aina hiyo. Na Urusi ikavunja vunja upinzani na kuzingatia uchumi tu, huku ikipiga Gelesha kwa west kuwa wanavyama vingi.
Katika yote yatazungumzwa lakini tofauti kubwa ya utawala wa Mkapa na Kikwete ni MZUNGUKO WA PESA. Wakati wa Mkapa uchumi ulikuwa lakini mzunguko wa pesa ulikuwa mgumu sana ukilinganisha na sasa. Na njia pekee ya kuwasaidia wanyonge ni kuhakikisha kuwa kuna urahisi wa mzunguko wa pesa. Hii inamuwezesha mkulima kuuza mazao yake kirahisi, mjenzi vile vile, muuza vitambaa naye atafaidika sawa na mshonaji, halikadhalika kwa kuli na muuza madafu. Na huu ndio mtaji wa Kikwete kuelekea uchaguzi 2010.
Naona umegeneralize sana. Nilitegemea ungetoa point moja moja na mifano halisi. Kwa mfano unapozungumzia EPA, si mambo bado yanaendelea. Kesi ziko mahakamani, wengine wamekimbia nchi na wengine wamerudisha pesa. Si hatua kamili lakini ni mwanzo mzuri kuelewa kuwa hakuna wateule.
Liyumba wasema chuki binafsi, na Mramba wasema ni geresha sasa serikali ifanye nini ili uridhike. Au ndio wewe ni uliyekwishaweka NO kwa serikali hii.
Chama kimoja huwa na lengo moja, si Tanzania tu bali kila nchi. Unaposema wabunge wa wanaitwa, hapo bado sijakuelewa. Ninavyoelewa mimi iwe ni maDemocrat au Republican (Marekani) kila chama wanakuwa na lengo lao. Na ni lazima wabunge wake wakusanywe na kuelezwa msimamo wao ili watapopiga kura ndani ya Bunge iwe rahisi kupitisha ajenda yao. Hivyo ndivyo vyama vya siasa vinavyofanya kazi.
Tatizo letu hatuna wabunge wengi kwa wapimzani. Mbona akina Slaa na Zitto wanasema na bado wapo. Tungelikuwa na wabunge wengi wa upinzani, tungefaidika na sauti zao. Ni bora kuwa na wabunge wengi wa upinzani kuliko kuwa na Rais toka upinzani na tukiwa na idadi ileile ya wabunge wa CCM.
Tatizo jingine wabunge wetu (CCM) HAWAKWENDA KUTETEA HOJA ZA WANANCHI ila ni mishahara na marupurupu yao tu. Kwani hata wakisema kwani serikali itawafanya nini. Ni lazima wawe watu wa principles, wakielewa kuwa wao ndio wanaowakilisha wananchi. Ububu eti kwa kuogopa kukatwa majina yao na CCM NI UPUNGUFU WA AKILI. Nafasi ya kusema wanayo, inachobidi ni kuitumia tu, kwani CCM si wao.
Ala..wewe ndiyo Babu yao au bibi wa hao mangedere mkamilishe ukoo wenu..te te teWee nadhani ndiyo utakuwa Ngedere dume, sasa bado Ngedere kinda safu ya Mangedere wa JF ikamilike...