P Prof Griff JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 6,772 Reaction score 5,258 Oct 11, 2009 #41 Tumain said: Ala..wewe ndiyo Babu yao au bibi wa hao mangedere mkamilishe ukoo wenu..te te te Click to expand... Sisi ndiyo msheikh wenu. Muwe mnatu hishim kidogo. Ukikosa kismet na usingizi usiku sababu ya majini utamlaumu nani?
Tumain said: Ala..wewe ndiyo Babu yao au bibi wa hao mangedere mkamilishe ukoo wenu..te te te Click to expand... Sisi ndiyo msheikh wenu. Muwe mnatu hishim kidogo. Ukikosa kismet na usingizi usiku sababu ya majini utamlaumu nani?
Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 4,175 Reaction score 2,294 Oct 13, 2009 Thread starter #42 Ndjabu Da Dude said: Sisi ndiyo msheikh wenu. Muwe mnatu hishim kidogo. Ukikosa kismet na usingizi usiku sababu ya majini utamlaumu nani? Click to expand... Umeamua kuonyesha jinsi ulivyo mwerevu. Kwa bahati mbaya hampo serikalini, nafikiri ungeisaidia sana serikali katika wakati huu mgumu. Vizuri, jiandaeni mwaka 2010, kura yangu umepata.
Ndjabu Da Dude said: Sisi ndiyo msheikh wenu. Muwe mnatu hishim kidogo. Ukikosa kismet na usingizi usiku sababu ya majini utamlaumu nani? Click to expand... Umeamua kuonyesha jinsi ulivyo mwerevu. Kwa bahati mbaya hampo serikalini, nafikiri ungeisaidia sana serikali katika wakati huu mgumu. Vizuri, jiandaeni mwaka 2010, kura yangu umepata.