Eti Doctor Leakey kakatazwa KUBET?

Eti Doctor Leakey kakatazwa KUBET?

Chai ya tangawizi wamekutilia chumvi na pilipili ngwala [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]

Ngwala=mtama
Hahah
9868329_1562868722362169020605_jpeg68942177fe63e1b66050324e34cc8a82.jpeg


dodge
 
Kama ku bet basi Dr. Leakey ana bet Casino, sifahamu huko inakuwaje lakini ni ukweli usiopingika kuwa Dr. Leakey ni "addicted gambler", teja la kamari.

Namuomba Allah amuondoshee hilo tatizo huyu ndugu yangu katika Uislam, ni tatizo kubwa sana.
Nakuja Canada,tuonane
 
Eti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures.
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je watamdhibiti vipi?
2. Je akimjazia mtu mwingine mkeka je?
3. Ukiacha vijiweni Je Hii habari iliandikwa na chombo gani cha habari?
SHULE NI YA MUHIMU SANA! WAJINGA BADO WENGI MITAANI.KWA AKILI YA KAWAIDA KUNA KAMPUNI NYINGI ZA KUBETI ZA ONLINE ZA MATAIFA MBALIMBALI SASA WATAMZUIAJE MTU KUBET!!! STORI ZA VIJIWENI BAADA YA KUVUTA KITU CHA ARUSHA
 
Back
Top Bottom