HahahChai ya tangawizi wamekutilia chumvi na pilipili ngwala [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ngwala=mtama
Nasisitiza kwa kizungu "But why?"Lakini mbona we mtu mzima?! Kwanini lakin?!
Nakuja Canada,tuonaneKama ku bet basi Dr. Leakey ana bet Casino, sifahamu huko inakuwaje lakini ni ukweli usiopingika kuwa Dr. Leakey ni "addicted gambler", teja la kamari.
Namuomba Allah amuondoshee hilo tatizo huyu ndugu yangu katika Uislam, ni tatizo kubwa sana.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Chai ya tangawizi wamekutilia chumvi na pilipili ngwala [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ngwala=mtama
SHULE NI YA MUHIMU SANA! WAJINGA BADO WENGI MITAANI.KWA AKILI YA KAWAIDA KUNA KAMPUNI NYINGI ZA KUBETI ZA ONLINE ZA MATAIFA MBALIMBALI SASA WATAMZUIAJE MTU KUBET!!! STORI ZA VIJIWENI BAADA YA KUVUTA KITU CHA ARUSHAEti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures.
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je watamdhibiti vipi?
2. Je akimjazia mtu mwingine mkeka je?
3. Ukiacha vijiweni Je Hii habari iliandikwa na chombo gani cha habari?
Asante kwa ufafanuziAlikuwa very consistent... Yaani leo kapiga 20 kesho kumi kesho kutwa 30 kwahyo wakaona hiki kichwa