figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
alikua akihojiwa kuhusu wimbo wake wa Obama, akaulizwa kwanini kwenye ule wimbo hajamtaja kikwete?. akajibu kwa mishauo kwamba alimuomba ruksa kikwete, alimfuata akamwambia nina wimbo nimekutungia, unaonaje huo wimbo nimuimbie Obama? kikwete eti akamjibu poa hamna tatizo. akaenda kuutengeneza alipomaliza akampelekea auangalie, eti kikwete akasema wawoo!!.. sikutegemea kwamba wasanii wa tanzania munaweza kuimba vizuri kiasi hiki. So anasema sasa hivi anasubiri amuimbie Obama. mia