Eti Fimbo ya mbali.... Mke wangu nimruhusu amegwe!

Basi hata kunitia moyo haiwezekani?
 
uarabuni kuna viza za uyaya?????au mkeo aliendaje???mie nataka nikawe yaya huko lol,nahisi huu wote ni ushigongo....sijui mnapata nini kutunga?ukute wewe na mkeo wote mko hapo mwanakwelekwe...lol

Hivyo huna habari na hilo? Mbona huko kuna viza za housemaids na dada yangu usiombee! Huenda ukalea baba na shababu wake usipojichunga.
Well unaweza ukaona labda ni ushigongo lakini aisifue mvua imemnyea au ilimweka ndani akashindwa kutoka nje. Ingekuwa ni ushigongo basi ingekuwa ile inayoanzia na tangazo, "Based on true story"
 
Kitanda hakizai haramu, akirudi na mimba itabidi uwe mpole tu mkuu, sio kosa lake. Ombea mkeo arudi salama tu, there is no way out.

Lakini inaumaaaaaaaaa!
 
Jamani waTanzania wenzangu. Hasa kina dada. Nawasihi sana, msiingiwe na hizi tamaa za kwenda uarabuni.

Bora ukae kwenu, upate mia mbili kuliko uende uko. Ukatombeshwe na mbwa. Ni hayo tu
 
...."Men are smart, women are smarter....."
Ungekuwa mdadisi kidogo na kumuuliza yeye anafikiria nini..
jibu lake ndilo lingekupatia jibu lake...
 
The grasses are not always greener on the other side of the pond.Sometimes life is not fair,you can blame no body for what has happened/will happen,either the situation will not solve itself he needs to take bold decisions.
 
...."Men are smart, women are smarter....."
Ungekuwa mdadisi kidogo na kumuuliza yeye anafikiria nini..
jibu lake ndilo lingekupatia jibu lake...

Umenena ukweli lakini kwa wakati huo nilishindwa na nini cha kufikiri.
 
The grasses are not always greener on the other side of the pond.Sometimes life is not fair,you can blame no body for what has happened/will happen,either the situation will not solve itself he needs to take bold decisions.

Thanks! It really helps believe me!
 
Ofcouse this is a home of GREAT THINKERS I Wonder to some advice being provided. Mr mwambie mkeo asikubaliane na hilo kwan magonjwa mengi na huwezi jua afya za hao jamaa.
 
Kimahesabu iko hivi... mkeo laziwa aliwe, ishu ni nani atamla? Akiliwa na maafande ataishia jela, akiliwa na best ako atamsaidia kurudi nyumbani. Based on these facts make a decision (am sure which one you will take). Then come back later for another decision when she's back! Moral of the story: 'trust no one suspect everyone to stay safe'
 
...."Men are smart, women are smarter....."
Ungekuwa mdadisi kidogo na kumuuliza yeye anafikiria nini..
jibu lake ndilo lingekupatia jibu lake...

Hako nako kaneno.
 
kuna mazingira ni rahis kuyatengeneza ila magumu kutatua
 
Thanks, though................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…