Eti First Lady amejifungua hivi karibuni?

Eti First Lady amejifungua hivi karibuni?

kuna watu wambea! Kujfungua ajab?

Mdogo huyo mpya wa Ridhiwani ndiyo aweza kuwa wa ajabu...si kujifungua kwa mama yake.. Maana atakua,itabidi asome vidudu,hujui shule gani,atakuja kuwa mtoto wa rais mstaafu,maisha yake yaweza kutuathiri..

Atakuwa anaishi kwa kodi yetu ...
Maisha yake yakiwa ya juu zaidi,watu watakuja na kulalamika.. Akiwa kiongozi wa chama(hata kama si CCM),wananchi watamsemasema kuwa ni kutokana na figure ya baba yake kisiasa hapa nchini..
 
Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja mzito. Au yale mavitenge aliyokuwa anajitanda atokeapo hadharani yalikuwa yanaficha tumbo? Mbona katika nchi za wenzetu First Family kupata mtoto Ikulu inakuwa ni habari kubwa, lakini hapa kwetu ni siri? Nadadisi tu.

Kwa hiyo unamwonea wivu, ulitamani uwe wewe.
 
Umenishtua mimi nilidhani first lady wa JF hata kichwa cha uzi kinatishia!!
 
Wacheni uzushi na huyo mwana wa Zakia Meghji. Fanyeni kazi badala ya kutumia muda kusambaza umbea
 
Umenishtua mimi nilidhani first lady wa JF hata kichwa cha uzi kinatishia!!
Sasa wewe huyo wa jf akizaa nini kinakushtua hapo kwani yeye hana........()
Usitake nitamke hapa, maana leo nimewindwa sana humu ndani.
 
Kama ni kweli kajifungua,basi ni ajabu.wanaongeza mzigo tu kwa taifa.
 
First lady gani?

haha afadhali umeuliza maana mafestiledi wako mapka mwananyamala sasa sijui unamzungumzia yupi au yule wa Rufiji au wa Kimbiji..hahaaaaa JK mwanakwetu weeeeee
 
Kama kawaida ya waswahili, mswahili haachi uswahili!!! Oooh! Mtoto huyu nilijifungula ikulu!! Mambo ya KKR
 
hata mie niliskia kwa mbali
afu kuna 'mabigi?' zaidi ya hayo
 
Back
Top Bottom