gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
kuna watu wambea! Kujfungua ajab?
Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja mzito. Au yale mavitenge aliyokuwa anajitanda atokeapo hadharani yalikuwa yanaficha tumbo? Mbona katika nchi za wenzetu First Family kupata mtoto Ikulu inakuwa ni habari kubwa, lakini hapa kwetu ni siri? Nadadisi tu.
first lady member wa humu JF:rant:First lady gani?
mambo ya kitaifa hayo bana. kwani lile jengo pale lakwao?
Nijuavyo mimi mafirst lady wako 2 bi mkubwa salma na yule shombe mwana wa zakhia megj, ni yupi kati yao?
Sasa wewe huyo wa jf akizaa nini kinakushtua hapo kwani yeye hana........()Umenishtua mimi nilidhani first lady wa JF hata kichwa cha uzi kinatishia!!
kwenu mmezaliwa wangapi?Mweh! Uswahili kazi! Bado anazaa tu!
First Lady wa JF?
First lady gani?
kwenu mmezaliwa wangapi?
kuna watu wambea! Kujfungua ajab?
umemsahau yule wa Iringa, binti Asas.
Eeh? Kumbe kuna na Rahma Kharoos...