Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama gazeti ni mwanaspoti unategemea nini?gazeti hili ndo linaloongoza kwa kuipamba yanga.
Yanga wamekuwa watamuuuu
Nipo Kaka Mwajiri ananibana tu kiasi cha kushindwa kuja kubadilishana hoja humu ndani,ila tupo pamoja nafahamu fika Mikia ni madebe matupu yasiyoacha kupiga kelele.Mkuu nimefarijika sana kukuona hapa jamvini, Mkuu ulikuwa wapi? Mikia wameendelea sana kuchonga, nadhani kesho kitaeleweka.
Mkuu ni wewe kweli au kuna mtu anatumia account yako?Nipo Kaka Mwajiri ananibana tu kiasi cha kushindwa kuja kubadilishana hoja humu ndani,ila tupo pamoja nafahamu fika Mikia ni madebe matupu yasiyoacha kupiga kelele.
Makoye Matale hapa umeongea kwa utulivu kaka yaan unaonesha hapa akili uliitumia barabara. hujajibu kama Mayanga yalivyo, kweli ni aibu kupotosha kombe la mapinduzi hata kama amechukua mtani wako, kuna siku watu watakuja mpaka kupotosha kombe la dunia kwa style hii ya waandish njaa. simba wapongezwe kwa kuchukua kombe hata kama ingekuwa kwa kurusha shilling acha penalty. Ulaya kwenyewe watu huchukua ubingwa kwa penalty itakuwa bongo? nan anasema penalty ni kubahatisha? huu ni ujinga wa kufikiri kabisa maana kama ingekuwa hivyo nadhan hata washabiki wangekuwa wanaitwa kwenda kupiga
lets come back to mwandish uchwara huyu kiyanga maana hata si jiyanga. simba hapo kamili asilimia mia moja ... na zilizo kamili asilimia miamo moja zilipata nini kwwenye mashindano haya? hiyo idadi ya magoli anayosema walioshinda iliwasaidia nini? unaweza ukashinda hata goal hamsini kwenye mechi ukaja kutolewa kwa goal moja na bahati mbaya point ni ile ile tu. hawa yanga wanaoamini ushirikina ndo watatufikisha wapi kimataifa?
Wewe mkia kuwa na adabu. Lini yanga wakalalama kuhusu ushirikina. Klabu yenye record ya kupigwa faini live kutokana na ushirikina ni mamikia sc. Hovyo sana mikia. Tangu mchukue ndondo cup imekuwa sheeeda kitaa. Nguvu yenu iko mdomoni tu. Sasa upongezwe kwa kombe ambalo umaarufu wake hata hauvuki Chumbe si una matatizo wewe?
Nyenyere..wewe kandambili kombe lako ulilochukua na linavuka mipaka ni lipi.?kwa makombe bora ukae kimya tafuta stori zingine,makombe unayonizidi ww @vazi la mguu chooni ni ligi tu,na yenyewe umechukua mara nyingi enzi zile hakuna offside na wachezaji jez wanavaa vichupi.!!ukizungumzia club za soka nchini unaizungumzia Simba..karibu msimbazi kwenye kabati lililoshehen makombe.
Nyenyere..wewe kandambili kombe lako ulilochukua na linavuka mipaka ni lipi.?kwa makombe bora ukae kimya tafuta stori zingine,makombe unayonizidi ww @vazi la mguu chooni ni ligi tu,na yenyewe umechukua mara nyingi enzi zile hakuna offside na wachezaji jez wanavaa vichupi.!!ukizungumzia club za soka nchini unaizungumzia Simba..karibu msimbazi kwenye kabati lililoshehen makombe.