Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Bantu lady umerudia tena? si nlishakwambia sisi wanaume tunapoongea wewe unapaswa uchukue kopo uende ukasugue gaga? unaanza tena? hukutosheka eeeeh?yanga tumekutana nayo mara ngap na matokeo yalikuaje? kwa mfano mwanaume akamwoa mama yako akamzalisha. halaf akaja mwanaume mwingine akamwoa baba yako yaan aliyemzalisha mama yako wewe nani anakuwa kidume? simba imezifunga tea ambazo ziliifunga yanga unapata jibu gani? haya sasa chukua naniniii tangulia naniii we bi dada. wanaume tunapokuwa na maongezi wewe unajua unapaswa kuwa wapi