ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Nyimbo gani?
Hakunaga'' Siipendi! kila redio station hakunaga hakunaga, watangazaji wetu nao malimbukeni sana, ndo sababu huwa nasema watangazaji walishaenda karibia wote wamabaki madj's tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo gani?
shigideee!!!
Inakera sana watu wanaojidai na kujiita waswahili wanaposhindwa kuandika kiswahili na wanachafuwa mazingira wanapoongea"ga". Sijui hizi "ga" "ga" zimetokea"ga" wapi?
kisanii inakubalika kutumia lugha isiyo rasmi katika baadhi ya maneno ili kuonyesha msisitizo au kuburudisha.........lugha ya kisanii tu tusijitie ujuaji wa kukosoa kila kitu!
niimbie kidogo shosti wangu swtlady.
dah dushelele...
mwenzio kaweka ili anate na bit mweh!hii nyimbo itachangia mno kuharibu kiswahili.....
sio kiswahili fasaha kusema hakunaga.....
kha!! Ina maana neno "nyumbani" sio sahihi??Wana jamvi hili ni eneo la great thinker hivi hamjaona maneno mengine ila hili tu HAKUNAGA kuongeza "ga" si tatizo mbona kuna maneno mengi yameongezwa hamsemi mfano kuna maneno mengi yanaongezwa "ni" hamsemi, mfano wa maneno kama hayo ni sebuleni, chumbani, nyumbani, mtoni, uwanjani, harusini, gengeni, sokoni, barabarani, barazani n.k lakini hayo mnaona yapo sahihi, maneno vile vile yanaweza kutumika bila kuongezwa ni na yakaleta maana.
Wana jamvi hili ni eneo la great thinker hivi hamjaona maneno mengine ila hili tu HAKUNAGA kuongeza "ga" si tatizo mbona kuna maneno mengi yameongezwa hamsemi mfano kuna maneno mengi yanaongezwa "ni" hamsemi, mfano wa maneno kama hayo ni sebuleni, chumbani, nyumbani, mtoni, uwanjani, harusini, gengeni, sokoni, barabarani, barazani n.k lakini hayo mnaona yapo sahihi, maneno vile vile yanaweza kutumika bila kuongezwa ni na yakaleta maana.