Unajua tatizo asilimia kubwa wanochangia uzi huu au wanao onekana kukereka na nyimbo hizi kiukweli wamepitwa na wakati kwa maana ya umri umesogea sana.
Haya ni maneno ya msimu tu yanakuja yanapita, sanaa ni ubunifu na utundu wa kuvuta hadhira yako, na ndicho suma lee amefanya.
Pia mnapaswa kujua uandishi wa mashairi ni tofauti na kuandika maelezo, habari au barua.
Pia najua hili litawatatiza wengi kina kitu ina swaga wenyewe wanajua.
Sikilizeni nyimbo kama mikasi ya ngwea, ule wa langa nk ndio mtajua sumalee kaimba bonge la nyimbo