Eti hapo naweza cheza game la ETS 2 bila kugandaganda

Eti hapo naweza cheza game la ETS 2 bila kugandaganda

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Wataalamu nahitaji msaada wa utambuzi wa uwezo wa hiki kifaa kabla sijayakanyaga maana nataka kulipia
Screenshot_20230727-155328.jpg
 
bila kugandaganda inategemea na setting uliyochagua upande wa Graphics kwenye game.

ukichagua low setting haitaganda ganda, and yes quality la game litakuwa siyo.

ukiweka high, itaganda ganda,

sababu ni processor ni ndogo, sijui kama dedicated video card unayo
 
Nikuuzie Dell Inspiron 15 7000, Inacheza game zote core i5 7 gen , mpaka tena kwa ukali zaidi, 1m
 
KWA MAHITAJ YA PC GAMES 0710701361, ZIKO TELE MKUUU
 
Hiyo machine inapiga hiyo game vizuri kabisa,na nyingine nyingi tu mzee
 
Ni laptop
Hapo kisanga hicho kwa upande wangu kinachokuvuta hapo ni hiyo RAM basi, bora ingekua desktop kwamba unaweza weka GPU, Games bila Dedicated GPU ni shida mkuu, ila kama ulikua huna PC kabisa chukua tu.
 
Back
Top Bottom