Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nadhani watu wakiwa katika mihemko maneno yanawatoka tu mapromise kibao
yaani kwanza hii thread yako inanikumbusha nilivodanganyika namapromise kumbe ni uongo bwana
ngoja nilog off maana umenikumbusha machungu
Hata kama hali halisi ni kama hivyo ulivyotaja; lakini si justification ya kusema hayo aliyoyasema mtoa mada. Hayo husemwa kwa lengo fulani tu! Kwani huyo anayemwambia angemuoa au angeolewa naye anamjua undani? Kama anasema hivyo kwa sababu kweli hali iko hivyo usemavyo basi ana matatizo ya kujiamini. Na in most cases hata ukikubali he/she will find other faults in you too!
Mtu akisema hivyo mkubalie tu, ila atakachoomba baada ya hapo, mkumbushe kuwa hata wewe hakufahamu vizuri yanaweza yakatokea hayo hayo ya anayemsema kwako - Atajifunza kuwa na staha - ikiwa kweli anazungumza akimaanisha.
Ila nijuavyo wengi hasa wanaume husema hivyo katika hali ya kubembeleza ili apewe yeye, basi. Akishapewa ... enough!![/QUOTE]
Hapo nakubaliana na wewe kwa upande wa wanaume na je ni vipi kwa upande wa wanawake wanaposema ningekuwa "Sijaolewa ungenioa wewe"
hiyo red naona nikujiongezea matatizo tu mie naona anyway wengine wako hivyo
Hata kama hali halisi ni kama hivyo ulivyotaja; lakini si justification ya kusema hayo aliyoyasema mtoa mada. Hayo husemwa kwa lengo fulani tu! Kwani huyo anayemwambia angemuoa au angeolewa naye anamjua undani? Kama anasema hivyo kwa sababu kweli hali iko hivyo usemavyo basi ana matatizo ya kujiamini. Na in most cases hata ukikubali he/she will find other faults in you too!
Mtu akisema hivyo mkubalie tu, ila atakachoomba baada ya hapo, mkumbushe kuwa hata wewe hakufahamu vizuri yanaweza yakatokea hayo hayo ya anayemsema kwako - Atajifunza kuwa na staha - ikiwa kweli anazungumza akimaanisha.
Ila nijuavyo wengi hasa wanaume husema hivyo katika hali ya kubembeleza ili apewe yeye, basi. Akishapewa ... enough!!
Globu hebu mwaga mapoint yako hapa bana acha hizo
Ni tamaa ya ngono tu na kutokumuogopa Mungu. Kama upo kwenye ndoa, kwa nini usitulie?
Hayo ni maneno ya wapenda ngono hivyo hayana maana yoyote zaidi ya kuhalalisha wanachohitaji.Habari zenu wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa la MMU.
Natumaini wote muwazima kabisa na ni buheri wa afya japokuwa ya kwangu si njema sana ila nashukuru nimeweza hata kuandika haya.
Nimekuwa nikisikia nikikutana na watu mbalimbali wakisema " Ningekuwa sijaoa ningekuoa wewe"
AU "Ningekuwa sijaolewa ningeolewa na wewe" Nimejaribu kuzitafakari hizi kauli nimekosa majibu hebu waungwana na wataalamu hebu nisaidieni?
Unaoa au kuolewa kwa lazima mpaka ufikie kusema maneno kama hayo???
Au nitamaa tu ndo zinasumbua? Ama ni nini hasa?? Hebu nisaidieni
Nawatakia maandalizi mema ya weekend.
DA
Jamani umetolea wapi assumption kua na justify... Mimi nimejibu swali kwa mtazamo wangu kua ni "kwa nini hao watu huongea hivo" Kwamba na support ama kuto support it is another matter/discussion, Ilitakia uniulize kwamba sasa mimi AshaDii nasimamia wapi - yaani kama nakubali AMA lah!
Hapo in RED utagundua kwamba yaelezea point yangu ya Mwisho.... Hivo sijaona what made you think i support... LAKINI ni muhimu ujue kua hata kama si-support ama kama wewe hu-support, ukweli unabaki pale pale kua kuna spouses mtu unajuta mlioana, na hizo staha pekee ndo humfanya kua nae daima....
Ashadii ndio maana huwa nakupenda huwa unaangalia pande zote za shilingi
Jamani umetolea wapi assumption kua na justify... Mimi nimejibu swali kwa mtazamo wangu kua ni "kwa nini hao watu huongea hivo" Kwamba na support ama kuto support it is another matter/discussion, Ilitakia uniulize kwamba sasa mimi AshaDii nasimamia wapi - yaani kama nakubali AMA lah!
Hapo in RED utagundua kwamba yaelezea point yangu ya Mwisho.... Hivo sijaona what made you think i support... LAKINI ni muhimu ujue kua hata kama si-support ama kama wewe hu-support, ukweli unabaki pale pale kua kuna spouses mtu unajuta mlioana, na hizo staha pekee ndo humfanya kua nae daima....
Uko sahihi kbs mamito,mie huwa nawaulizaga ulilazimishiwa ndoa?yani ni unafiki usiokuwa na kipimo na kutuona hatujawashtukia jaman nasema kbs ole wake mtu ameoa alafu anijie na hii gia atajuta kunifahamu!hizo ni lugha tu za kimihemko dada
watu wakiwa kwenye mihemko akili na mdomo havifanyi kazi kwa ushirikiano