Eti haya maswali majibu yake ni nini?

mi nadhani watu wakiwa katika mihemko maneno yanawatoka tu mapromise kibao
yaani kwanza hii thread yako inanikumbusha nilivodanganyika namapromise kumbe ni uongo bwana
ngoja nilog off maana umenikumbusha machungu
 
mi nadhani watu wakiwa katika mihemko maneno yanawatoka tu mapromise kibao
yaani kwanza hii thread yako inanikumbusha nilivodanganyika namapromise kumbe ni uongo bwana
ngoja nilog off maana umenikumbusha machungu

Bebii pole bana sikujua kama nitakukumbusha machungu nisamehe bure mtoto wa mwanamke mwenzio
 
mimi hapa sitii neno_kwani niko single and available,ila nimeyashuhudia mengi kuhusu hili,....hope wanajishaua tu
 
 
hiyo red naona nikujiongezea matatizo tu mie naona anyway wengine wako hivyo

...siku zote binadamu hujiona ana matatizo zaidi ya wengine. Imani juu ya hisia zetu ndizo hutoa shinikizo kuamua yale tunayoamua.
 



Jamani umetolea wapi assumption kua na justify... Mimi nimejibu swali kwa mtazamo wangu kua ni "kwa nini hao watu huongea hivo" Kwamba na support ama kuto support it is another matter/discussion, Ilitakia uniulize kwamba sasa mimi AshaDii nasimamia wapi - yaani kama nakubali AMA lah!

Hapo in RED utagundua kwamba yaelezea point yangu ya Mwisho.... Hivo sijaona what made you think i support... LAKINI ni muhimu ujue kua hata kama si-support ama kama wewe hu-support, ukweli unabaki pale pale kua kuna spouses mtu unajuta mlioana, na hizo staha pekee ndo humfanya kua nae daima....
 
Ni tamaa ya ngono tu na kutokumuogopa Mungu. Kama upo kwenye ndoa, kwa nini usitulie?
 
Ni tamaa ya ngono tu na kutokumuogopa Mungu. Kama upo kwenye ndoa, kwa nini usitulie?

Sio kutulia peke yake bali na kwanini uombe kitu kwa kumdharau mwenzio???

Eti mke wangu ana matatizo sana eti mume wangu anamatatizo sana aliyesema suluhisho ni huyo
Unayemwambia nani?? Unajitafutia kudharauliwa tu na kuonekana wewe ni mjinga
Mume/Mke unaishi nae unashindwa kumwambia mke wangu mie sipendi nguo zinavyokaa chafu kwa muda hapa ndani
Mume wnagu sipendi hiyo tabia yako ya ulevi hebu jaribu kupunguza basi au hata nywea ndani basi.
Eti unakwenda kusema nje ili iweje??? Tabia hii hunikera sana
 
Hayo ni maneno ya wapenda ngono hivyo hayana maana yoyote zaidi ya kuhalalisha wanachohitaji.
 
uhondo wa ngoma úingie UCHIZI,ukiwa hujaoa unatamani kuoa na ukioa unajionea adha za ndoa na kutamanani kutokuoa. Nalog off
 
Ashadii ndio maana huwa nakupenda huwa unaangalia pande zote za shilingi
 
Kama alivyosema AshaDii inawezekana ni mtego tu wa kumweka sawa anaeambiwa au ni kweli huyo mtu anamaanisha kwa kukosa aliyotarajia kupata kwenye ndoa yake. Inatokea sana baada ya watu kuonyeshana makucha wanajutia maamuzi yao.
 

OK, I agree with u!
 
kama alivyosema ADII...inawezekana wengine kwa kumhitaji mtu anasema hayo baada ya hapo anapotezea na wengine ni maisha waliyonayo ndani ya nyumba yanapelekea kusema hayo.
 
hizo ni lugha tu za kimihemko dada
watu wakiwa kwenye mihemko akili na mdomo havifanyi kazi kwa ushirikiano
Uko sahihi kbs mamito,mie huwa nawaulizaga ulilazimishiwa ndoa?yani ni unafiki usiokuwa na kipimo na kutuona hatujawashtukia jaman nasema kbs ole wake mtu ameoa alafu anijie na hii gia atajuta kunifahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…