Eti, Hemed PHD kuna mtu ana details za life lake?

Eti, Hemed PHD kuna mtu ana details za life lake?

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
220
Reaction score
41
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.

Huyu dogo anahitaji ushauri
 
Da yani huyu jamaa anapendwa sana na videmu hv age 18-26 ndio maana anawalia hela zao sana,haongi kabisa PHD,ila mwisho wao unakua mbaya sana tumpe muda.
 
duh kokwa we ni noumer, post ya kwanza tu jf, hemedi,inaonesha huko kitaa anakunyima usingizi sana,amekuzolea nini.
 
duh kokwa we ni noumer, post ya kwanza tu jf, hemedi,inaonesha huko kitaa anakunyima usingizi sana,amekuzolea nini.
Mkuu afadhali umeliona hilo!!!HEMED P.H.D anawanyima sana raha makiza type hii!huyu aliyeleta huu uzi atakuwa kaumiziwa kama rasta mmoja!P.H.D ni entertainer!big up P.H.D tukutane maisha club leo katika show B-HITZ
 
Ivi aliisha maliza form 4 huyu hemed?
 
duh kokwa we ni noumer, post ya kwanza tu jf, hemedi,inaonesha huko kitaa anakunyima usingizi sana,amekuzolea nini.

Client cio kwamba jamaa kaniumiza bt ni interview anazofanya znazengua
 
Client cio kwamba jamaa kaniumiza bt ni interview anazofanya znazengua
Ili usiumie!mchukulie kama msanii anayeamua kufanya interview tofauti na wasanii wengine!!!simtetei ila HEMED wa sanaa si HEMED wa kawaida!
 
Ili usiumie!mchukulie kama msanii anayeamua kufanya interview tofauti na wasanii wengine!!!simtetei ila HEMED wa sanaa si HEMED wa kawaida!

Ila sio kihvyo anatakiwa atambie maendeleo cio mambo ya kitoto
 
Huyu jamaa alinichekesha sana kwenye kile kinyanganyiro cha kumpata msanii wa Tusker Project Fame alipoimba wimbo wa marehemu Michael Jackson yaani aliimba utumbo Ma****i kunuka.
 
acheni kumsingizia mauongo...kama kuhashukwa Hemedi kaanza aliporudu Tusker ila hakuwa na mambo ya ajabu ajabu kwa tunaomjua,mibaba mizima mimbea!
 
Back
Top Bottom