KoreaKaskazini
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 219
- 51
watu ni tabu sana hapa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.
Huyu dogo anahitaji ushauri
ni kawaida mtu akiwa handsome na anajipenda wanamuita gay,ila wimbo wake mpya unabore......
Yaani Hemedy angekuwa na mafanikio walau aliyonayo Diamond mbona angetusumbua sana hapa mjini.Bahati nzuri mambo yanabuma,kila akitoa wimbo hauhit,kwenye muvi anafanya vizuri but badlucky kule hamna hela
Wimbo wake mpya unaitwa the one n nzuri sana
Kichefuchefu
Ana Phd ya nn?
Diamond Ana mafanikio gani ?
ana tuzo za kimataifa una swali jingine?
Za kimataifa au za kiafrika?
Ana Phd ya nn?
hahahahhha!!!!!!haterz.........!!!angekuwa ana sura mbaya na hajipendi hizi kashfa asingepewa!!!