Kokwa kavu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 220
- 41
nikimkumbukaga enzi zile...tuache tu!
Mkuu afadhali umeliona hilo!!!HEMED P.H.D anawanyima sana raha makiza type hii!huyu aliyeleta huu uzi atakuwa kaumiziwa kama rasta mmoja!P.H.D ni entertainer!big up P.H.D tukutane maisha club leo katika show B-HITZduh kokwa we ni noumer, post ya kwanza tu jf, hemedi,inaonesha huko kitaa anakunyima usingizi sana,amekuzolea nini.
duh kokwa we ni noumer, post ya kwanza tu jf, hemedi,inaonesha huko kitaa anakunyima usingizi sana,amekuzolea nini.
Ili usiumie!mchukulie kama msanii anayeamua kufanya interview tofauti na wasanii wengine!!!simtetei ila HEMED wa sanaa si HEMED wa kawaida!Client cio kwamba jamaa kaniumiza bt ni interview anazofanya znazengua
Ivi aliisha maliza form 4 huyu hemed?
Ili usiumie!mchukulie kama msanii anayeamua kufanya interview tofauti na wasanii wengine!!!simtetei ila HEMED wa sanaa si HEMED wa kawaida!
Ivi huyu m2 anajielewa huwez ukawa msanii mwenye akil upanie kumkic angelina jolie ukipata hela mara ukivaa kia2 mara moja hurudii una madem 65 huyu dogo anahitaj ushaur
huyu dogo ni nani?
hivi stoo kuna vumbi eeee....umeuliza vumbi stoo.