Eti, Hemed PHD kuna mtu ana details za life lake?

Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.

Huyu dogo anahitaji ushauri

Wivu tu kwan akipania kumkiss Angelina ww inakuuma nn?
 
Yaani Hemedy angekuwa na mafanikio walau aliyonayo Diamond mbona angetusumbua sana hapa mjini.Bahati nzuri mambo yanabuma,kila akitoa wimbo hauhit,kwenye muvi anafanya vizuri but badlucky kule hamna hela

Diamond Ana mafanikio gani ?
 
Mh ukisikia khabari inahitaji upembuzi yakinifu! ni za ndani sana hizi! maana ushahidi wake na khasa wazee wa picha hapa hawana chao!
 
Ni maisha yake na hajaomba mtu amsaidie majukumu. Acheni kusema sema yawatu huku yenu mmeyafukia rohoni . Ati magreat thinkers.
 
Hvi huyu mwana ana PHD ya fani gani vile,mana kuna kipindi nilickia anajitapa kwenye redio kuwa yuko mbioni kujiunga havard university?
 
Ni ujuha na upunguani uliopitiliza kwa mtoto wa kiume rijali...kuja kumuanzishia mada za kimbea mwanaume mwenzio...hayo mambo yangetakiwa yafanywe na dada zenu vibarazani na nyie muwakemee...

Mtoto wa kiume baada ya kutafuta fulsa za kujiongezea kipato na kujiletea maendeleo...badala yake unashinda nyuma ya keyboard kupiga umbea na dada zako......

chuki yako dhidi ya mtu aliyekupiga gape haitakusaidia zaidi ya kufanya kazi kwa bidii na kuyafikia malengo uliyojiwekea( kama kweli una malengo)......au ndo nyie mnaoshinda huko masaluni ya wadada kwa kazi ya kuwasugua kucha mpaka mmeadapt tabia zao.....

Mwanaume maendeleo ,mwanaume kujijenga....na wakati ndio huu....

Hivi huwa hamuujutii muda wenu kumsema mtu ambaye hata kuwajua hawajui na muda huo anafanya yake yenye kwake.....??......

Wanaaume dizaini zenu ndio mnaokimbizwa na panya road na kukimbilia mapajani mwa dada zenu au mama zenu.....
TIME WILL TELL...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…