Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Tulia wewee mkaldayo
Nimetuma aoneNimegundua watanzania baadhi yetu tuna roho za ajabu sana.
Hela yake, gari yake... Wewe roho inakuuma nini?
Hivi ukiiona buggati divo inayouzwa $5.8 Million si utakufa na kihoro wewe?
Hapana aiseeNiliwahi kuona jamaa mmoja anapita nalo Maswa.
Mimi hata milioni kumi sinunuiMkuu wewe unaona hako kagari kangeuzwa bei gani?
Ebana sikushinda aisee ila sijakata tamasAfu we Jon Stephano hukushinda jackpot?