Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Kamanda wangu jon stephano una point.

Ukiangalia kwenye orodha ya Forbes, matajiri wengi wanaotolewa nafasi za juu hawana maisha ya hayo magari. Wanatumia vitu vizuri na vya thamani lakini sio luxury zisizo na msingi.
Gari ya Warren Buffet au Bill Gate haiwezi kuwa ya kaliba hiyo hata siku moja.

Haya mambo mara nyingi wanamichezo, matajiri wa kurithi, wafalme na familia zao ndio wanayaendekeza sana.
 
Ushamba na umasikini ndo unatusumbua hapa Tanzania hiyo gari ni ya bei ya mboga kabisa kwa standard za wenzetu watu wanaendesha gari za bei kali kama hizi tena watu wala hawashangai kuna brand kama Maserati , Lamboghini , Bentley n.k hizo ndio bei zake sasa mtu anashangaa $ 700000 wtf ! Watu wanaendesha michuma ya $3000000 ambayo ni zaidi ya billioni sita za kitanzania hebu cheki hii michuma

2005-maserati-birdcage-75th-pininfarina-concept_1444937758-1.jpg
 
kama pesa zingekuwa zinachapishwa mbinguni bila shaka vitu vingekua na thamani halisi.
 
Nimegundua watanzania baadhi yetu tuna roho za ajabu sana.

Hela yake, gari yake... Wewe roho inakuuma nini?

Hivi ukiiona buggati divo inayouzwa $5.8 Million si utakufa na kihoro wewe?
 
Mayweather alinunua hii miaka 3 iliyopita,ilikua ikiuzwa 3mil usd
 
Sio muda nainunua hiyo chuma na Bugatti ile mpya
 
Iyo gari inaeza kuja tz na ikagongwa faini za kutosha (sio za spidi ) na hawa askari wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwanza to dar haikosi faini zaidi ya tatu
 
Kama mama tibaijuka 1billion ilikuwa ya kununulia matembele ataumia kuongeza 1b nyingine anunue hiyo kobe
 
Baadhi ya Viongozi wetu wa kiafrika usije shangaa waki tamani kuyanunua hayo magari.Fedha walizoficha Nje ni zaidi ya hilo gari.Umewahi Msikia mtu aliitwa Mobutu?
 
Back
Top Bottom