Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Tofauti iko hivi yy alikuwa anasimamia upande wa money is beter than education na nyie mlikuwa mnatetea upande wa education is beter than money hivyo basi hamtokaa mkakutana
 
Kwahiyo ungekuwa na pesa kama ile Floyd Mayweather unafikiri kwa nini usiwe na hiyo gari?Imagine kama una pesa ndefu kiasi kile,nyumba za thamani utakuwa nazo,magari ya kifahari utakuwa nayo,kila unachohisi cha thamani unakuwa nacho na pesa bado ipo, unafikiri utafanyia nini hiyo hela na inazidi kuongezeka,maana hizo interest unazopata bank sio za kawaida,achana na share kwenye makampuni n.k.Mkuu hicho ni kitu kidogo sana ukiwa na pesa,wewe sema tu kuwa huna hiyo hela...!
 
Ukisoma comments ndo utajua poverty mentality ya watu ilivyo.
 


Iwekwe carburettor ni toyo hiyo kwani?? Ni umasikin ndo unakufanya unaandika post ndefu ya kipuuzi tulia watu watumie pesa binti
 


Ukiwa huna hela siku zote lazima uone kama wenye nazo wanazitumia vibaya 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…