Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Bosslady lile range lako si lina but la kutosha tu?Gari kuwa na buti wazungu washaondoka huko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bosslady lile range lako si lina but la kutosha tu?Gari kuwa na buti wazungu washaondoka huko...
Afrika tumezoea mitumba toka japani hii si size yetuGari kuwa na buti wazungu washaondoka huko...
Kangeuzwa bei ya Mazda RX3 tuMkuu wewe unaona hako kagari kangeuzwa bei gani?
Niliwahi kuona jamaa mmoja anapita nalo Maswa.
Mkuu kama hilo gari halina sifa hizi basi kila aliyelinunua ni fala hasa.
1.Haliungui moto hata kama likimwagiwa petrol na kuwashwa
2.Haliwezi kupata pancha
3.Huhitaji service yoyote kwenye injini kwa zaidi ya miaka 50 zaidi ya kuweka mafuta,oil na maji kwenye Carburetor.
4.Haliwezi kupinduka hata likimbie speed kiasi gani.
5.Zaidi ya chuma cha pua hata likigongwa na treni haliwezi hata kubonyea.
6.Siku zote libakie jipya hata baada ya miaka 30 kama vile limetoka kiwandani Leo.
Kama hilo gari lina sifa tajwa hapo basi sh Bil 2 ni halali kabisa,na kama hakuna hizo sifa,wote walionunua hamnazo kabisa,wana akili ndogo Kama CCM.
Noma sana!Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Mzuqa,
Yani binadamu hapana.
Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735
Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737
Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.
Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.
narumuk