Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

No way tusidanganyane boss..hamna kitu ka hicho
 
Hakuna uhusiano wowote ule pia hakuna sababu ya kimsingi inayoweka uhalisia wa kitu ulichozungumza
 
Hakuna uhusiano wowote ule pia hakuna sababu ya kimsingi inayoweka uhalisia wa kitu ulichozungumza

To cut a long story short short...utafit ume fail
 
Duuh kama naona leo watu watakavyooanza kubadili majina. Nahisi kuna uhusiano fulani na maneno yako kuna jamaa yangu anajina mojawapo katika majina hayo hapo juu duu ni NOMARRRRRRRRR

:eek2: unamaanisha vipi ni nomaa....fafanua zaidi ili na mimi nikikutana na wanaume wenye hayo majina nipite pembeni
 
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?

Matt ndio Matayo? na
Chriss ndio Christopher?
 
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
WE kubali uolewe usitupeleleze. Lkn jina haliwezi kuwa sababu ya kitaalam kumjua mtu ana tabia gani. Angekuwepo shehk Yaya ungedanganywa kirahisi
 
kama mwandishi wa wazo/swali ni mwanamke ni wazi kwamba yeye ni mmojawapo wa washobokeaji wa watu wenye majina hayo!
 
mmmh....mi najua wenye majina yanayoishia na RT ndio wanaoshobokewa....
 
mbona mimi naitwa tombila mankunutu ila mashori wananifata paka basi . kama sio ninaye yesu ningeshasepa kwenye ramani ya dunia
 
Back
Top Bottom