Hakuna uhusiano wowote ule pia hakuna sababu ya kimsingi inayoweka uhalisia wa kitu ulichozungumza
Duuh kama naona leo watu watakavyooanza kubadili majina. Nahisi kuna uhusiano fulani na maneno yako kuna jamaa yangu anajina mojawapo katika majina hayo hapo juu duu ni NOMARRRRRRRRR
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
Jamaa yangu nikiwa na maana ni undugu wa damu
WE kubali uolewe usitupeleleze. Lkn jina haliwezi kuwa sababu ya kitaalam kumjua mtu ana tabia gani. Angekuwepo shehk Yaya ungedanganywa kirahisiHabari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
Mwaka huu lazima na mimi nitalichonga jina langu ili liishie na hizo herufi!.mmmh....mi najua wenye majina yanayoishia na RT ndio wanaoshobokewa....
mmmh....mi najua wenye majina yanayoishia na RT ndio wanaoshobokewa....