Eti hili ni penzi ama hisia za penzi??

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Huyu dada anaomba msaada..
Akiwa ndio amemaliza skuli yake na kupangiwa kazi alipofika kwa ofisi akakutana na kaka ambaye hakumpenda hata kidogo kuanzia muonekano mpaka mavazi ,na hakupenda hata salaam yake.
Ila ndo alikuwa jirani kiofisi,kila kaka akimsalimia alijidai hasikii na kuendelea na kazi..
Kasheshe ikaanza siku kaka alipojua jina la huyu Binti na kumtumia email ya salam hakujibu..
kesho yake akatuma tena akajibu dry.. sijambo full stop.dada yuko single kaka hajaoa pia.
Lakini siku zilivyosonga mbele huyu kaka akawa anaingia ofisini kwa dada na salam zake lakini binti alikuwa serious ,,,mara amletee apple dada kamchunia tu.
Issue imeanza pale kaka wa watu alipokosekana ofisini kwa week dada kuuliza kaambiwa anaumwa ndipo alipoamua kutafuta kwake na kupapata..
Kumkuta kaka kweli akiwa hoi hana msaada na kuanza kumuhudumia kuanzia chakula mpaka usafi..kaka kapona na kurudi job.
Issue imeendelea kaka wa watu kasafiri kikazi for 3 month eti binti anahisi kuumwa
Anatamani kumuona hamuoni..
Kumpigia simu napo yuko ovasizi...
Maswali anayojiuliza
1.Mbona alivyomuona mara ya kwanza hakumpenda na alimchukia
2.Hajui nini anakitaka kwa huyu kaka
3.Hivi ni kweli kuna penzi hapa au hisia ...

Nawakilisha!:A S-rose:
 
Huyo kaka alivyorudi kazini baada ya kuumwa dada aliendelea kumchunia kama mwanzoni au alianza kumtazama kiutofauti?
Kama alianza kumuona kwa mtazamo tofauti basi inawezekana ameanza kumpenda huyo kaka...
 
Kweli mapenzi kazi..hapa ni dalili ya penzi changa kuchipua
 
inawezekana ni upweke tu huyo dada unamsumbua. assume kwamba ametokea mwanaume mwingine wa design hiyo halafu yule wa kwanza akarudi? she have to stand on her own feet and not forced by emotions! kama kampenda avunje ukimya!!!!!!
 
Ni penzi 100%

Siri kwa wadada:Kama kuna mkaka humpendi /humtaki ofisini hakikisha kiti/meza yako haitazamani na ya kwake.Kwani kuna wakati utamchungulia na ndipo unajimaliza.

Mkao wa daktari na mgonjwa results into love na hiki ndicho kilichomtokea huyo dada
 
Kamshtue jamaa ili akachape kabla hisia hazijabadilika.....! then akae mbali kidogo ku-observe reactions.....! the truth will prevail unconditionally....! hahahaha...
 
maumivu ya kichwa huanza pooole pole:mod::dance::A S 103:
 

let me straight FL1

Hakuna hisia za penzi wala penzi... huyo dada angekua na alternative ya care hapo mwanzo wala asingemsalimu huyo kaka

na hata wakiwa pamoja, if by any chance akatokea mtu atakayemvutia huyo dada basi kazi imekwisha

Love has a spontaneous flare that even blinds ca see

Huyo jamaa aangalie ustaarabu wake
 
inawezekana ni upweke tu huyo dada unamsumbua. assume kwamba ametokea mwanaume mwingine wa design hiyo halafu yule wa kwanza akarudi? she have to stand on her own feet and not forced by emotions! kama kampenda avunje ukimya!!!!!!
swadaktaaa:dance:
 
kinachoonekana hapa ni hisia, wanaweza kuoana thn baadae hisia zikiisha anaweza kukumbushia uvaaji mwonekano etc. thn ikatokea k2 kibaya zaidi. hapo aangalie je anampenda kiukweli? coz wadada wengi wenye penzi la dhati hupenda polepole! so ajithibitishie moyoni ni kweli anampenda na vigezo vya kumchukia vimekwisha? WAKIWA MBALI ANAMPENDA AKIWA KARIBU ANAMCHUKIA........!!!!!! LOL.
 

...aha ha! ...mazoea yana tabu ee?
'Mapenzi ni Homa!' na Mazoea ni sehemu ya mapenzi.

 
Acha kudangaya wenzako na kuwapeleka chaka
 

Consider the law of attraction btn two bodies and also the effects of induction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…