FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Huyu dada anaomba msaada..
Akiwa ndio amemaliza skuli yake na kupangiwa kazi alipofika kwa ofisi akakutana na kaka ambaye hakumpenda hata kidogo kuanzia muonekano mpaka mavazi ,na hakupenda hata salaam yake.
Ila ndo alikuwa jirani kiofisi,kila kaka akimsalimia alijidai hasikii na kuendelea na kazi..
Kasheshe ikaanza siku kaka alipojua jina la huyu Binti na kumtumia email ya salam hakujibu..
kesho yake akatuma tena akajibu dry.. sijambo full stop.dada yuko single kaka hajaoa pia.
Lakini siku zilivyosonga mbele huyu kaka akawa anaingia ofisini kwa dada na salam zake lakini binti alikuwa serious ,,,mara amletee apple dada kamchunia tu.
Issue imeanza pale kaka wa watu alipokosekana ofisini kwa week dada kuuliza kaambiwa anaumwa ndipo alipoamua kutafuta kwake na kupapata..
Kumkuta kaka kweli akiwa hoi hana msaada na kuanza kumuhudumia kuanzia chakula mpaka usafi..kaka kapona na kurudi job.
Issue imeendelea kaka wa watu kasafiri kikazi for 3 month eti binti anahisi kuumwa
Anatamani kumuona hamuoni..
Kumpigia simu napo yuko ovasizi...
Maswali anayojiuliza
1.Mbona alivyomuona mara ya kwanza hakumpenda na alimchukia
2.Hajui nini anakitaka kwa huyu kaka
3.Hivi ni kweli kuna penzi hapa au hisia ...
Nawakilisha!:A S-rose: